Sizani kama izo story ni za kweli kuwa kiba ndo alimruhusu domo kufanya kazi na sharobaro maana ile studio ni ya bobjunior labda ingekuwa kgt sawaKulikuwa hakuna namna! Bob junior alikuwa tayari kuhatarisha urafiki wake na kiba lakini sio kukiacha kichwa kilichokuwa na kila dalili ya kuwa 'A list' artist.. Kiba ikambidi tu awe mpole l..
Na kuna siku domo kwny kipindi cha the base cha ITV alikanusha izo habari