Ali Kiba na Abby Daddy waingia katika mgogoro mzito, WCB wahusishwa

Kwahiyo sharobaro record ni studio ya Kiba?
Ali ndio alikuwa Raisi wa label ya sharobaro...ndio maana hata ngoma zote za zamani za Ali alikuwa akitaja jina Sharobaro kabla hata we ujamjua huyo Bob junior
 
Waende 50 50 kwani production ajalipwa promo je anachangia au apana kama kwel 50 50 jamaa iyo ni ujuma bana
 
Haya mambo yataisha lini bongo
Tanzania ni nchi ya ajabu ajabu sana figisu kila idala ndio maana tunadolola tatizo la mtu na mkewe unasema mshenga ndio kikwazo kwani bila wewe kumjua huyo mwanamke mshenga angekujua wewe. Tuache kuweka matatizo yetu kwa kisingizio cha mtu furani kama tatzo la kiba deal with it not include your fellows as a excuse
 
Hiyo ni kiki ya kutolea nyimbo..acheni unaa nyie..wewe ushaona VP wehu wenye wivu wanagombana...allykiba ni kiazi kwa diamond.. Ally mshinde kwanza dimpoz na barnaba boy ndo uje ushindane na diamond
 
Wasanii wetu wangekuwa na team zenye utimamu kichwani kama The bold natumaini tungekuwa tunasomeka Somewhere na Music Industry yetu.

Nashukuru kwa andishi lako chief
 
Akili kubwa.
Thanks the bold
 
Ukisikia mfia timu ndio mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

For better for worse I'll always be Ali Kiba blood fan..forever.
uzuri wako ww ukisema huwa utanii kijana [emoji4]
 
Wenye team zenu katika ubora wenu,mi naangalia muziki na sio msanii
 
Kwa sababu Kiba ni 'mwana', ye kama vipi 'akajiandae' alaf 'aje' WCB Kwa Laizer afanye ngoma, Simba 'atagharamia' na bifu aliweke tu 'far away' kiroho safi ![emoji12] [emoji124][emoji124]
Magnificent creativity....
 
Tunampa ofa ya kurekodi ngoma moja na Laizer, tunajua anataka ila anashindwa kusema.. Mpeni taarifa # aje wasafi studios wala asiogope [emoji23] [emoji23]
The bold nawe una team? Nimecheka saaaaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…