Alvin Junior
Member
- Feb 14, 2015
- 13
- 9
Kama kweli kujitoa akili kwa msomi njaa bana na lidomo lake lile kuwewini kweli ccm inajua bei ya wasomi njaa
Hii katiba ikipita itakuwa ni dharau kubwa sana kwa wapinzani.
itakua aibu kali sana kwa profesa.
Professor???? yupi wa kichina au yule mchumi?
mfyuuuuuuuuu!!
Hujambooooo
Mie mzima buheri wa afya hof kwako
Weekend njemaaaa