Ali Kiba na Diamond Platnumz wachaguliwa katika kamati ya kitaifa ya Katiba Mpya wakiwa na Dr Bana

Ali Kiba na Diamond Platnumz wachaguliwa katika kamati ya kitaifa ya Katiba Mpya wakiwa na Dr Bana

Alvin Junior

Member
Joined
Feb 14, 2015
Posts
13
Reaction score
9
Wasanii hawa kwa taarifa za ndani ni kuwa wamechaguliwa kuwa wajumbe wa kamati ya kitaifa ya katiba mpya kuelekea kura ya ndio wakiwa na Prof Costa Mahalu, Dr Bana, Kingunge, William Lukuvi na Waheshimiwa wengine.
 
yaani awa kuanzia leo ndo siendi shoo zao
yaani wanaendekeza njaaa zao kudanganya watu wapitishe ilo li katiba lao la ovyo!
 
Kama kweli kujitoa akili kwa msomi njaa bana na lidomo lake lile kuwewini kweli ccm inajua bei ya wasomi njaa
 
Hii katiba ikipita itakuwa ni dharau kubwa sana kwa wapinzani.
 
Mmmmmh mtu asiyejua hata haki zake ndio iwe haki za watu????
 
Back
Top Bottom