Ali Kiba na Giggy Money mahaba motomoto

If u find a hole plant a tree,by wangare mathare,ndicho anachofanya kiba
 
Tatizo la Jokate ni ulimbukeni. Elimu yake haimsaidii kitu kabisa. Ameishia kuwa kwenye kundi la wanaogongwa na kutoswa. Halafu ni kama Ana mkosi na wanaume. Wanagonga wanasepa Sijui wanakutanaga na nini pale.
Mwana FA
Hasheem
Chidi
Diamond
Ali Kiba
Mnigeria
Lundenga
Etc etc
Sahivi kwa mtu anaemfahamu vzr hawezi kumuoa. Sijui alisoma iweje yule dada. Maana mambo yake anayajua mwenyewe
 
Yeuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiie auwiiiiiiijiiiuuuuuj
 

Hadi Chidi?
 
daaaah kuwa msanii kuna raha zake vijana wanafaidi kweli kweli,najilaumu kwenda kusoma economics,yaaani rafiki wangu wa karibu ni laptop tu,maprogram CSPro, SPSS, Stata sijui yatenipeleka wapi
ndo uendelee na ma correlation na masignificant[emoji23]
 
Hivi kwanini unafikiri Kiba anafanana na Bushman wale wa xhosa wanaoishi maporini kule namibia... akili zake ni unique.

Inawezekana kabisa.
[emoji15] [emoji23] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] kamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…