Ali Kiba na Giggy Money mahaba motomoto

Ali Kiba na Giggy Money mahaba motomoto

Nakubaliana kabisa Na assessment Yako sawa Na Diamond Na Ali kuba kwenda kutoa Mchango Kwa Ghalib wa GSM ashakum si Matusi eti wakatoa kwenye Twitter ya follow GSM foundation, nikacheka sana Na kukumbuka Kuwa kweli Ndege wafananao huruka pamoja darasa la 4b wamejiona nao am milionea Kwa Kuwa wana cash wamesahau Kuwa mali bila daftari... Japo sijui Kama walishafika level ya methali. I hate hypocrisy lack of confidence hivi hao kina diamond wanaamini huyo myemeni Ndio anayeweza kuwafikia vulnerable Tanzanians kuliko CBOs Za kule Kwao Tandale? Ushamba wa Hali ya juu sana
Mwenzio kiingereza kimenipita kushoto, hivi unamaanisha nini ??
 
Back
Top Bottom