Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
we Tulia mwisho na hii I'd ulimwe ban maana sitaki kukukosa humu,huo mziki mnene buanaaaaaaa wacha wengine wachezeee
Haaaa Dina nimekushindwa nakugawa bure aiseeee.....
Haaaaaa guys mnanichekesha saana aisee
Eti ugly be.. Lol nimewashindwa
Hahaaaa very true watu wanachukulia ushabiki serious mno hadi kujenga michuki watu wanahitaji kwenda kwa wanasaikolojia wanahitaji ushauri. Fake I'd hizi zinawapa watu tatizo.
Mimi hapa kwetu ukoo mzima ni walimu.
Haya basi teacher, siku ya leo ipite basiiii....hakunaga vita ya maneno mtu akakubali kushindwa.
usipaniki bana ndio gazeti lote hilii,
Hebu wacha zako,andaa notice za kesho shuleni banaa
Hivi humu kwa mfano nani ana uhakika nani anafakanyakazi gani?
Wewe naye naona unang'ata na kupurizaa unafurahiii?
Naona hadi wizara ya Maliasili na utalii inashirikiana na wakina Beckam na Jack Chain kumshusha Diamond hahahhaha
Hawakawii kufungua account fake ya David Beckham na Jack chain ili kumponda Kiba hahahhaha

Huyo ni catalyst tu. Unajua ili moto uwake lazima kuwe na oxygen.
Naona hadi wizara ya Maliasili na utalii inashirikiana na wakina Beckam na Jack Chain kumshusha Diamond hahahhaha
Hawakawii kufungua account fake ya David Beckham na Jack chain ili kumponda Kiba hahahhaha
JF kila mtu anajionaga ana maisha mazuri wadada wote wa wazuri wana kazi nzuri kumbe sasa bora hata waalimu nawaheshimu.
weweeee napuliza wapi ,halaf we unanisakama Mie ndio umeona mnyonge Wako etiii ngoja nikuletee WiFi yakoooo
Haaa! Dina, yamekuwa ya kukusakama tenaaa!
Mi naona unapuriza puriza tu watu wanaparurana,
Ukimleta wifi yangu jojo ntashukuru.
Kuna mmoja alikuwa hodari wa kutukana watu huko Insta kina Le Mutuz wakaipata picha yake wakamuanika yani ni kituko kitupu mbayaaaaa limwili kama sanamu la michelin.
Kwa uzoefu nilionao wanawake decent mara nyingi wanajiheshimu sana maandishi yao na ukiwaona ndivyo walivyo yani wako poa sana, lakini wale wenye misongo ya mawazo na kuachwa na mabwana ndio vidomo mbele kama chuchunge.
Kuna wadada humu ni washkaji zangu sana lakini si washabiki wa hapa celeb wako fit wana kazi za ukweli na mnapiga nao maisha na wapo low profile na kamwe hawataji mambo ya maisha yao kwenye forum.
Nimejifunza mengi sana uwepo wangu JF usimdharau usiyemjuwa ipo siku unaweza kuhitaji msaada wake, ndio sababu ya mimi kuachana na jukwaa la siasa unaweza kukosa mambo mengi mazuri tu watu wanawrzrshana humuhumu kimyakimya.