Ali Kiba na Jackline Mengi wateuliwa kuwa mabalozi wa tembo

Hahaaaa very true watu wanachukulia ushabiki serious mno hadi kujenga michuki watu wanahitaji kwenda kwa wanasaikolojia wanahitaji ushauri. Fake I'd hizi zinawapa watu tatizo.

upuuzi mtupu...!!hasira za nyumbani kwao wanamalizia kwa aly kiba na wafuasi wake

halafu bas tunawapanikisha then tunawachekaaa.....!!!
 
Mimi hapa kwetu ukoo mzima ni walimu.
Haya basi teacher, siku ya leo ipite basiiii....hakunaga vita ya maneno mtu akakubali kushindwa.

vita wapi baass....!!

mi sina knyongo hicho hata kidogo!!nkikukuta kwenye uzi mwingine umenifurahisha nakuqoute maana..
hapa mtandaoni ni km kijiwe story tu!
 
Naona hadi wizara ya Maliasili na utalii inashirikiana na wakina Beckam na Jack Chain kumshusha Diamond hahahhaha

Hawakawii kufungua account fake ya David Beckham na Jack chain ili kumponda Kiba hahahhaha
 
Hahaaaaa walianza wale wa Tuzo za watu wakaja BASATA na KTMA hao wana chuki na diamond wana muonea wivu wanataka wamshushe kilazima.
Huyo Jack Chain na Beckham sio wao halisi wqtakwqmbia.
 
Naona hadi wizara ya Maliasili na utalii inashirikiana na wakina Beckam na Jack Chain kumshusha Diamond hahahhaha

Hawakawii kufungua account fake ya David Beckham na Jack chain ili kumponda Kiba hahahhaha

hahahaaaa....watasema na hao nao fake pia....
maana kuna wachawi humu..!!wanaroga mpk anonymous!!
 
Naona hadi wizara ya Maliasili na utalii inashirikiana na wakina Beckam na Jack Chain kumshusha Diamond hahahhaha

Hawakawii kufungua account fake ya David Beckham na Jack chain ili kumponda Kiba hahahhaha

Tutayaona mengi sana mwaka huu.
Kweli team Wema na BaSata wana influence kubwa sana.
 
JF kila mtu anajionaga ana maisha mazuri wadada wote wa wazuri wana kazi nzuri kumbe sasa bora hata waalimu nawaheshimu.

Kuna mmoja alikuwa hodari wa kutukana watu huko Insta kina Le Mutuz wakaipata picha yake wakamuanika yani ni kituko kitupu mbayaaaaa limwili kama sanamu la michelin.

Kwa uzoefu nilionao wanawake decent mara nyingi wanajiheshimu sana maandishi yao na ukiwaona ndivyo walivyo yani wako poa sana, lakini wale wenye misongo ya mawazo na kuachwa na mabwana ndio vidomo mbele kama chuchunge.

Kuna wadada humu ni washkaji zangu sana lakini si washabiki wa hapa celeb wako fit wana kazi za ukweli na mnapiga nao maisha na wapo low profile na kamwe hawataji mambo ya maisha yao kwenye forum.

Nimejifunza mengi sana uwepo wangu JF usimdharau usiyemjuwa ipo siku unaweza kuhitaji msaada wake, ndio sababu ya mimi kuachana na jukwaa la siasa unaweza kukosa mambo mengi mazuri tu watu wanawrzrshana humuhumu kimyakimya.
 
weweeee napuliza wapi ,halaf we unanisakama Mie ndio umeona mnyonge Wako etiii ngoja nikuletee WiFi yakoooo

Haaa! Dina, yamekuwa ya kukusakama tenaaa!
Mi naona unapuriza puriza tu watu wanaparurana,
Ukimleta wifi yangu jojo ntashukuru.
 
weeeeeeee komaaaaaa,nilikuta washaanzaa,na wote wabishiii mmeshindwa kumsaidia mwanatimu wenu halaf mseme napuuliza unadhan nitakuwa upande shutuuuu,
Na huyo mwingine ni WiFi yenu jojo wa juzi tu
 
Kuna mmoja alikuwa hodari wa kutukana watu huko Insta kina Le Mutuz wakaipata picha yake wakamuanika yani ni kituko kitupu mbayaaaaa limwili kama sanamu la michelin.

Kwa uzoefu nilionao wanawake decent mara nyingi wanajiheshimu sana maandishi yao na ukiwaona ndivyo walivyo yani wako poa sana, lakini wale wenye misongo ya mawazo na kuachwa na mabwana ndio vidomo mbele kama chuchunge.

Kuna wadada humu ni washkaji zangu sana lakini si washabiki wa hapa celeb wako fit wana kazi za ukweli na mnapiga nao maisha na wapo low profile na kamwe hawataji mambo ya maisha yao kwenye forum.

Nimejifunza mengi sana uwepo wangu JF usimdharau usiyemjuwa ipo siku unaweza kuhitaji msaada wake, ndio sababu ya mimi kuachana na jukwaa la siasa unaweza kukosa mambo mengi mazuri tu watu wanawrzrshana humuhumu kimyakimya.

Debe tupu huwa lina kelele sana kuliko lenye kitu. Sasa ka huyo Dada ukute alikua busy kutukana wengi matusi yote na yeye kujiona mzuri kumbe sura imemkaa kushoto ngumu ka magoti loh!
Mwanamke yoyote mwenye kujielewa na decent utamtambua kwa miandiko yake JF hata status yake na uelewa wake ni wa namna gani. Kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake.

Wenye nazo huwa hawapigi kelele kutafta kujulikana zaidi hukaa kimya matendo yaongee.
JF kuna wenye heshima zao na hawana show off character yoyote.
JF kuna mambo kila mtu high class. Sasa kajamba nani wasio na mbele nyuma kelele mingi.
 
Back
Top Bottom