haikuhusuuuu...
kukaaa na waridi peke yake unanukia....!
mtaishia hvyo hvyooo...!!
kwa hiyo mkuu hapo itamsaidia vipi Kiba au kiba siku hizi anacheza muvi?yani hawa jamaa kazi yao ni kuponda tu,wewe mtu anaenda kufanya kazi na watu kama Leonardo DiCaprio (actor na mmiliki wa 20FOX CENTURY MOVIE STUDIOS) hiyo ni studio kubwa sana ya movie duniani...kwa wale wa ulimwengu wa movie wanafahamu hili na moja ya muvi za hao jamaa ni TITANIC ile ilitikisaga dunia
teh teh mkuu kwa kujifariji kwa hiyo hapo kiba na Beckham watatoa collabo au atamtafutia club ulaya maana nasikia kiba anapiga ndondo!pia kiba anaenda Fanya kazi na David Beckham's mtu aliyewahi vunja record ya kuwa mwanasoka mwenye hela zaidi duniani,wakina Kate Hudson
hapo ndo umenichekesha kweli kwa hoja yako ni coca na tembo ha haa haaa watu wanaangalia mkataba wenye hela mkuu mambo ya kulindwa hata kiwanda cha koka kinalindwa na mabunduki unayoyasemeaalafu wanaleta majungu eti balozi ni kawaida sana...sawa ni kawaida na inategemea unachaguliwa kuwa balozi wa nini...embu tuangalie baadhi wa wasanii ambao nao ni mabalozi...diamond yeye ni wa cocacola ambaye ndo kawaida sana maana thamani ya cocacola moja huwezi linganisha na TEMBO mmoja(kumbuka analindwa namitutu ya bunduki usiku kucha mjue...je cocacola ina thamani na kulindwa hivyo?)
sasa wewe na wao hapo nani maandazi wewe au wao km kupiga collabo na wasanii wa nje hadi Shaa, AY na wengine washapiga collabo na wasanii wa marekani huyo kiba wako hiyo collabo imemfikisha wapi? leo hii anapigwa gape hadi na madogo kina V money.bado kiba alishawai imba na r.Kelly(king wa R&B states), ambao kimsingi hao wote ni macelebrities wa nje ya Africa waliofanya kazi na kiba na wote wanatitle kubwa sana,sasa watuambie uyo Mondi wao amewai kufanya kazi na celebrite gani nje ya africa?,waache ushabiki maandazi kiba kapiga hatua hapo inabidi wakubali tu
+Kwanza na mimi niungane na wewe kumpongeza kiba kupata nafasi hiyo.
+then nirudi kwenye hoja yako ungetoa hoja yako vizuri sana bila kuonyesha huo uspesho wa ubalozi wa kiba dhidi ya ubalozi wa wasanii wengine espeshale Mondi. Kufanya kazi na watu wakubwa duniani sio hoja ila cha msingi atanufaika vipi na hao watu. Halafu kingine hao watu yupo nao katika project moja tu, lakini haimaanishi atakaa nao ofisini aanze kufanya nao kazi acha kujifariji mkuu. kwa hiyo mkuu hapo itamsaidia vipi Kiba au kiba siku hizi anacheza muvi? teh teh mkuu kwa kujifariji kwa hiyo hapo kiba na Beckham watatoa collabo au atamtafutia club ulaya maana nasikia kiba anapiga ndondo! hapo ndo umenichekesha kweli kwa hoja yako ni coca na tembo ha haa haaa watu wanaangalia mkataba wenye hela mkuu mambo ya kulindwa hata kiwanda cha koka kinalindwa na mabunduki unayoyasemea sasa wewe na wao hapo nani maandazi wewe au wao km kupiga collabo na wasanii wa nje hadi Shaa, AY na wengine washapiga collabo na wasanii wa marekani huyo kiba wako hiyo collabo imemfikisha wapi? leo hii anapigwa gape hadi na madogo kina V money.

alafu mkuu unapozungumzia AY ni mtu mwingine uyo,me namkubali jamaa kuliko ata uyo Mondi na kiba wenyewe,kama ata ili utabisha leta ligi uone,wewe mtu kaanza kutoboa mbele mamtoni na kuchukua zile tuzo za channel O kabla ata ya uyo Mondi mwenyewe,namimi kwangu unapozungumzia mwanamziki aliyefanya video ya gharama kuliko wote TZ ni AY kama unabisha embu sema tu mwenyewe ile ngoma yake aliyomshirikisha S.Kingston unafikiri thamani yake ni mdogomdogo au mwana ngapi pale?..so AY Kufanya vitu na celebrites wa mamtoni ni kawaida sana mkuu.
Tatizo ni hilii
AY anaimba nyimbo gani? Sijuagi miziki yake bali nilishasikia jina. Anaishi TZ?
Ay ndo nanii??
Ndo namuuliza huyo maana anasema mwanamuziki zaidi ya Diamond sasa hivi, au labda nilipitwa alipojulikana kama Diamond atatueleza akina mie. Na show zake uwa wapi ooh na bio naisubiria. nimecheki ubongo wangu sijui jina hata nyimbo yake moja, atatufahamisha leo tujue.
Hawataki kukubali tu kuwa kila mtu ananafasi yake kuchanua na hakuna kubanana, Diamond anachanua wengi wamekalia chuki, kwani wakichanua hata 10 pamoja shida wapi? Wanaojielewa wajitume basi tupate wengi tuwashabikie kimuziki na wajipandishe juu na juu kimataifa.
mhhh!..sawa bana mzuriwewe,ila huu ushabiki wa dizaini yako ni hatareee sana maana unajitoa akili coz hakuna asiyejua kuwa diamond ana hit africa,alafu eti mnauliza AY nani?..inakuja kweli?..wakati uyo diamond kuna kipindi alimtumia AY kutafuta collabo za nje ya TZ kama sikosei ilikuwa mwaka 2012 eti leo mnauliza AY ni nani?...ivi kuna mtu asiyejua ile ngoma yake aliyemshirikisha SEAN KINGSTON NA TRINITY? NA ILE ALIYETOA NA ROMEO JE?...alafu nyie mnauliza eti ameimba nyimbo gani?...haya sasa AY alishavuka Africa na kuitangaza TZ mamtoni kwa kuimba na celebrities wa mbele kama ROMEO,SEAN KINGSTON, TRINITY embu niambie uyo Mond amefanya collable na nani wa mamtoni?..don't keep u'r self around the bush...naomba jibu apo plz?,acheni tintalila nyingii maana kama tuzo za channel O,MTV,afrimama aliizo nazo mondi AY yeye alishamaliza kule sema tu alikuja poa akawa anafanya business zake nyingine.

Mkuu unatwanga maji kwenye kinu.Zaidi utaambulia dhihaka na matusi tu.
Watu wasio acknowledge mafanikio ya wengine ni hatare sana kwa ustawi wa muziki.
Kweli kabisa mkuu tena ni hatareee zaidi ya ukimwi maana hakuna mtz asiyemjua AY japo sasa kapoa,alafu eti wanauliza AY ni nani?...nimemuuliza aniambie celebrite gani wa mamtoni kapiga collabo na MONDI naona kpotea ghafla sijui vip?...yeye anafikiri kutoa video mamtoni mchezo nini ndomaana nikamwambia ajibu tu mwenyewe lile ngoma ya AY aliyemshirikisha SEAN KINGSTON NA TRINITY thamani yake ni mdogomdogo ngapi?...pia kimya sasa anaposema hamjui ana maana gani labda?...alafu ndo wanasema eti uzalendo mbele kiivi kweli?..kwa kutomtambua AY ambaye ni mwanamziki wetu naye tena hana hata bifu na uyo MONDI wao sasa,waache izo ukweli ndo huo Mimi kwangu unapozungumzia msanii aliyetoa video ya gharama kuliko wote hapa TZ ni AY.