Ali Kiba na Jackline Mengi wateuliwa kuwa mabalozi wa tembo

hili kweli jukwaa la udaku mnabishana kama mnalipwa ...teh teh
 
haikuhusuuuu...

kukaaa na waridi peke yake unanukia....!

mtaishia hvyo hvyooo...!!

yani hawa jamaa kazi yao ni kuponda tu,wewe mtu anaenda kufanya kazi na watu kama Leonardo DiCaprio (actor na mmiliki wa 20FOX CENTURY MOVIE STUDIOS) hiyo ni studio kubwa sana ya movie duniani...kwa wale wa ulimwengu wa movie wanafahamu hili na moja ya muvi za hao jamaa ni TITANIC ile ilitikisaga dunia,pia kiba anaenda Fanya kazi na David Beckham's mtu aliyewahi vunja record ya kuwa mwanasoka mwenye hela zaidi duniani,wakina Kate Hudson,prince William ambaye ni mtoto wa prince Charles katika royal family(familia ya kifalme),haya Jackie chan huyu ni actor maarufu sana huko china,alafu wanaleta majungu eti balozi ni kawaida sana...sawa ni kawaida na inategemea unachaguliwa kuwa balozi wa nini...embu tuangalie baadhi wa wasanii ambao nao ni mabalozi...diamond yeye ni wa cocacola ambaye ndo kawaida sana maana thamani ya cocacola moja huwezi linganisha na TEMBO mmoja(kumbuka analindwa namitutu ya bunduki usiku kucha mjue...je cocacola ina thamani na kulindwa hivyo?),bado kiba alishawai imba na r.Kelly(king wa R&B states), ambao kimsingi hao wote ni macelebrities wa nje ya Africa waliofanya kazi na kiba na wote wanatitle kubwa sana,sasa watuambie uyo Mondi wao amewai kufanya kazi na celebrite gani nje ya africa?,waache ushabiki wao maandazi kiba kapiga hatua hapo inabidi wakubali tu coz kuchaguliwa kufanya kazi na watu wenye title & records zao kama hao sio jambo dogo.
 
+Kwanza na mimi niungane na wewe kumpongeza kiba kupata nafasi hiyo.

+then nirudi kwenye hoja yako ungetoa hoja yako vizuri sana bila kuonyesha huo uspesho wa ubalozi wa kiba dhidi ya ubalozi wa wasanii wengine espeshale Mondi. Kufanya kazi na watu wakubwa duniani sio hoja ila cha msingi atanufaika vipi na hao watu. Halafu kingine hao watu yupo nao katika project moja tu, lakini haimaanishi atakaa nao ofisini aanze kufanya nao kazi acha kujifariji mkuu.
yani hawa jamaa kazi yao ni kuponda tu,wewe mtu anaenda kufanya kazi na watu kama Leonardo DiCaprio (actor na mmiliki wa 20FOX CENTURY MOVIE STUDIOS) hiyo ni studio kubwa sana ya movie duniani...kwa wale wa ulimwengu wa movie wanafahamu hili na moja ya muvi za hao jamaa ni TITANIC ile ilitikisaga dunia
kwa hiyo mkuu hapo itamsaidia vipi Kiba au kiba siku hizi anacheza muvi?
pia kiba anaenda Fanya kazi na David Beckham's mtu aliyewahi vunja record ya kuwa mwanasoka mwenye hela zaidi duniani,wakina Kate Hudson
teh teh mkuu kwa kujifariji kwa hiyo hapo kiba na Beckham watatoa collabo au atamtafutia club ulaya maana nasikia kiba anapiga ndondo!
alafu wanaleta majungu eti balozi ni kawaida sana...sawa ni kawaida na inategemea unachaguliwa kuwa balozi wa nini...embu tuangalie baadhi wa wasanii ambao nao ni mabalozi...diamond yeye ni wa cocacola ambaye ndo kawaida sana maana thamani ya cocacola moja huwezi linganisha na TEMBO mmoja(kumbuka analindwa namitutu ya bunduki usiku kucha mjue...je cocacola ina thamani na kulindwa hivyo?)
hapo ndo umenichekesha kweli kwa hoja yako ni coca na tembo ha haa haaa watu wanaangalia mkataba wenye hela mkuu mambo ya kulindwa hata kiwanda cha koka kinalindwa na mabunduki unayoyasemea
bado kiba alishawai imba na r.Kelly(king wa R&B states), ambao kimsingi hao wote ni macelebrities wa nje ya Africa waliofanya kazi na kiba na wote wanatitle kubwa sana,sasa watuambie uyo Mondi wao amewai kufanya kazi na celebrite gani nje ya africa?,waache ushabiki maandazi kiba kapiga hatua hapo inabidi wakubali tu
sasa wewe na wao hapo nani maandazi wewe au wao km kupiga collabo na wasanii wa nje hadi Shaa, AY na wengine washapiga collabo na wasanii wa marekani huyo kiba wako hiyo collabo imemfikisha wapi? leo hii anapigwa gape hadi na madogo kina V money.
 
+Kwanza na mimi niungane na wewe kumpongeza kiba kupata nafasi hiyo.

+then nirudi kwenye hoja yako ungetoa hoja yako vizuri sana bila kuonyesha huo uspesho wa ubalozi wa kiba dhidi ya ubalozi wa wasanii wengine espeshale Mondi. Kufanya kazi na watu wakubwa duniani sio hoja ila cha msingi atanufaika vipi na hao watu. Halafu kingine hao watu yupo nao katika project moja tu, lakini haimaanishi atakaa nao ofisini aanze kufanya nao kazi acha kujifariji mkuu. kwa hiyo mkuu hapo itamsaidia vipi Kiba au kiba siku hizi anacheza muvi? teh teh mkuu kwa kujifariji kwa hiyo hapo kiba na Beckham watatoa collabo au atamtafutia club ulaya maana nasikia kiba anapiga ndondo! hapo ndo umenichekesha kweli kwa hoja yako ni coca na tembo ha haa haaa watu wanaangalia mkataba wenye hela mkuu mambo ya kulindwa hata kiwanda cha koka kinalindwa na mabunduki unayoyasemea sasa wewe na wao hapo nani maandazi wewe au wao km kupiga collabo na wasanii wa nje hadi Shaa, AY na wengine washapiga collabo na wasanii wa marekani huyo kiba wako hiyo collabo imemfikisha wapi? leo hii anapigwa gape hadi na madogo kina V money.

wewe kosoa sana lakini "TRUTH NOTED" hapo maana ndo ishakuwa tena jamaa ndo MR.BALOZI hivyo,na nina uhakika angekuwa ameteuliwa MONDI pasingekalika humu ndani...OK!..let's skip conversation...ryt?...maana najua umeguswa na hisia fulani ndomaana ukaandika hayo yote lakini pengine Mimi nisingeandika vile lakini nimeona comment zenu zilivyo na CONC.ACID kwa kiba coz kuna team MONDI wamekandia sana juu ya ubalozi wa kiba ndo ikanipelekea nieleze Yale,ila ndo ivyo ukweli ni ukweli tu wewe niambie hapa watu waone JE NI CELEBRATE GANI WA NJE YA AFRICA WENYE TITLE NA RECORDS WAMEFANYA KAZI NA MONDI KAMA HAO KWA KIBA?..usiruke ruke Ooh Mara AY Ooh!..sijui nani,Mimi sijamuongelea AY hapo nijibu kwa case ya MONDI tyuu,jamani tuache majungu mpongezeni mtu kwa zuri analostahili haijalishi hata kama kiba hatoimba na hao jamaa kitendo cha kufanya nao same project tu ni ishu...ukitaka kuamini niambie hawakumuona MONDI?..je MONDI alishawai Fanya ata iyo project tu unayosema kwa kiba na hata mmoja wao hao jamaa?...nijib plz acha tantalila nyingi!!!!!
 
+Kwanza na mimi niungane na wewe kumpongeza kiba kupata nafasi hiyo.

+then nirudi kwenye hoja yako ungetoa hoja yako vizuri sana bila kuonyesha huo uspesho wa ubalozi wa kiba dhidi ya ubalozi wa wasanii wengine espeshale Mondi. Kufanya kazi na watu wakubwa duniani sio hoja ila cha msingi atanufaika vipi na hao watu. Halafu kingine hao watu yupo nao katika project moja tu, lakini haimaanishi atakaa nao ofisini aanze kufanya nao kazi acha kujifariji mkuu. kwa hiyo mkuu hapo itamsaidia vipi Kiba au kiba siku hizi anacheza muvi? teh teh mkuu kwa kujifariji kwa hiyo hapo kiba na Beckham watatoa collabo au atamtafutia club ulaya maana nasikia kiba anapiga ndondo! hapo ndo umenichekesha kweli kwa hoja yako ni coca na tembo ha haa haaa watu wanaangalia mkataba wenye hela mkuu mambo ya kulindwa hata kiwanda cha koka kinalindwa na mabunduki unayoyasemea sasa wewe na wao hapo nani maandazi wewe au wao km kupiga collabo na wasanii wa nje hadi Shaa, AY na wengine washapiga collabo na wasanii wa marekani huyo kiba wako hiyo collabo imemfikisha wapi? leo hii anapigwa gape hadi na madogo kina V money.

alafu mkuu unapozungumzia AY ni mtu mwingine uyo,me namkubali jamaa kuliko ata uyo Mondi na kiba wenyewe,kama ata ili utabisha leta ligi uone,wewe mtu kaanza kutoboa mbele mamtoni na kuchukua zile tuzo za channel O kabla ata ya uyo Mondi mwenyewe,namimi kwangu unapozungumzia mwanamziki aliyefanya video ya gharama kuliko wote TZ ni AY kama unabisha embu sema tu mwenyewe ile ngoma yake aliyomshirikisha S.Kingston unafikiri thamani yake ni mdogomdogo au mwana ngapi pale?..so AY Kufanya vitu na celebrites wa mamtoni ni kawaida sana mkuu.
 
AY anaimba nyimbo gani? Sijuagi miziki yake bali nilishasikia jina. Anaishi TZ?
 
Ay ndo nanii??

Ndo namuuliza huyo maana anasema mwanamuziki zaidi ya Diamond sasa hivi, au labda nilipitwa alipojulikana kama Diamond atatueleza akina mie. Na show zake uwa wapi ooh na bio naisubiria. nimecheki ubongo wangu sijui jina hata nyimbo yake moja, atatufahamisha leo tujue.

Hawataki kukubali tu kuwa kila mtu ananafasi yake kuchanua na hakuna kubanana, Diamond anachanua wengi wamekalia chuki, kwani wakichanua hata 10 pamoja shida wapi? Wanaojielewa wajitume basi tupate wengi tuwashabikie kimuziki na wajipandishe juu na juu kimataifa.
 
mhhh!..sawa bana mzuriwewe,ila huu ushabiki wa dizaini yako ni hatareee sana maana unajitoa akili coz hakuna asiyejua kuwa diamond ana hit africa,alafu eti mnauliza AY nani?..inakuja kweli?..wakati uyo diamond kuna kipindi alimtumia AY kutafuta collabo za nje ya TZ kama sikosei ilikuwa mwaka 2012 eti leo mnauliza AY ni nani?...ivi kuna mtu asiyejua ile ngoma yake aliyemshirikisha SEAN KINGSTON NA TRINITY? NA ILE ALIYETOA NA ROMEO JE?...alafu nyie mnauliza eti ameimba nyimbo gani?...haya sasa AY alishavuka Africa na kuitangaza TZ mamtoni kwa kuimba na celebrities wa mbele kama ROMEO,SEAN KINGSTON, TRINITY embu niambie uyo Mond amefanya collable na nani wa mamtoni?..don't keep u'r self around the bush...naomba jibu apo plz?,acheni tintalila nyingii maana kama tuzo za channel O,MTV,afrimama aliizo nazo mondi AY yeye alishamaliza kule sema tu alikuja poa akawa anafanya business zake nyingine.
 
Mie nimeuliza nijue baada ya kukusoma. Ningekuwa najua nisingekuuliza kuhusu ushabiki ndio mie fan wa Chibu na wengine pia wa Tanzania wenzangu.
 
mhhh!..sawa bana mzuriwewe,ila huu ushabiki wa dizaini yako ni hatareee sana maana unajitoa akili coz hakuna asiyejua kuwa diamond ana hit africa,alafu eti mnauliza AY nani?..inakuja kweli?..wakati uyo diamond kuna kipindi alimtumia AY kutafuta collabo za nje ya TZ kama sikosei ilikuwa mwaka 2012 eti leo mnauliza AY ni nani?...ivi kuna mtu asiyejua ile ngoma yake aliyemshirikisha SEAN KINGSTON NA TRINITY? NA ILE ALIYETOA NA ROMEO JE?...alafu nyie mnauliza eti ameimba nyimbo gani?...haya sasa AY alishavuka Africa na kuitangaza TZ mamtoni kwa kuimba na celebrities wa mbele kama ROMEO,SEAN KINGSTON, TRINITY embu niambie uyo Mond amefanya collable na nani wa mamtoni?..don't keep u'r self around the bush...naomba jibu apo plz?,acheni tintalila nyingii maana kama tuzo za channel O,MTV,afrimama aliizo nazo mondi AY yeye alishamaliza kule sema tu alikuja poa akawa anafanya business zake nyingine.

Mkuu unatwanga maji kwenye kinu.Zaidi utaambulia dhihaka na matusi tu.
Watu wasio acknowledge mafanikio ya wengine ni hatare sana kwa ustawi wa muziki.
 
Kweli kabisa mkuu tena ni hatareee zaidi ya ukimwi maana hakuna mtz asiyemjua AY japo sasa kapoa,alafu eti wanauliza AY ni nani?...nimemuuliza aniambie celebrite gani wa mamtoni kapiga collabo na MONDI naona kpotea ghafla sijui vip?...yeye anafikiri kutoa video mamtoni mchezo nini ndomaana nikamwambia ajibu tu mwenyewe lile ngoma ya AY aliyemshirikisha SEAN KINGSTON NA TRINITY thamani yake ni mdogomdogo ngapi?...pia kimya sasa anaposema hamjui ana maana gani labda?...alafu ndo wanasema eti uzalendo mbele kiivi kweli?..kwa kutomtambua AY ambaye ni mwanamziki wetu naye tena hana hata bifu na uyo MONDI wao sasa,waache izo ukweli ndo huo Mimi kwangu unapozungumzia msanii aliyetoa video ya gharama kuliko wote hapa TZ ni AY.
 
Unachekesha sana unazani mie nikimbie kuna lipi umeandika simjui AY simjuo kama unamjua fine, unakuza mambo na hao wengine sababu mnamchukia Diamond mtajiju na ya rohoni mwenu.

Usilazimishe kiti kama AY simjui na sisikilizi nyimbo zake unataka iweje? Unaulizwa kitu unakuwa na uchungu rohoni wa chini ya mtungi kulazimisha eti naukiza AY ni nani AY hili ja lile.

Kubali hana promo kama Diamond, ambaye hata walio nchi za nje wanamuona kwenye kideo. Leo huyo akiyeenda sijui bara gani kufanya collabo na Diamond anayefanya na waafrika unaweza walinganisha kwenye mizani?

Kama alimuomba collabo mwaka 2012 so iweje leo yeye yupo wapi? Unajua kukuta watu wa nchi zingine wanamzimia mwanamziki wa nchi ingine kama vile ni wa nchini kwao?

Embu ondoa eti umeniuliza, unadhani nina muda wa kujibu na kufungua quotes kila dk unajua hqta nakuta ngapi?

Andika kingine unatia aibu unaulizwa jibu swali sepa kama hautaki unaleta mashindano ya kipapa eti nimeseoa nisepe nfio huyo AY atajulikana, tembea uone sio kulalama na maneno na fekero ID kwa kipi ulichoandika

Diamond ni namba one na hakunaga kwa Tanzania mtoto wa Tandale uyoooooo
 
Tatizo asije akalewa sifa akajisahau tu, kwani hata alipotoka imba na r.kelly alijisahau sana kwa kulewa sifa, asilewe sifa na kujisahau akaze buti hapo atazidi paa na kujulikana zaidi
 
Back
Top Bottom