Taja balozi gani na sisi tujue sio povu jiiiiingi mpk lipstick imetoka yote!
Msaada kwa jackie chan tunangoja.
ok kwa msaada wa jack Chan nimekupataaa
Mbona nguo hizo hizo nyeusi kama tulizoziona kwenye shoo yake marekani jamaa kapigika nguo anarudia rudia tu.
kama hujui hii hapa itakusaidia
www.google.com

mbona hamsemi Baba Yao Ana I'd Mia humu,we kua Nazo hata elfukumi banaaa
Leo geni Ana makengezaa haion vizuri I'd yako
hahaahaaaa....!!!diva umenichekesha..umeona eeehhh...!!!unajua nini..!!vitu vidogo sana hvii...
hasa kudeal na anonymous..!!sishtuki hata akintukana zaidi namshangaa tu!!
Haaaaaaaaaa umetisherrr........
hhhhhhaaaaa I'd I'd mbona wengi wanazo Tu sio kitu cha ajabu buanaaa
Zile nguo za Daimond ambazo alizinunua Uk SI zipo Tu kule kwa kifesi bado hajaanza kuzivaa,tunaomba zile nguo zote tumpe king maana haiwezekani arudie shati Hilo Hilo anatuaibishaaaaa
Kumbe na wewe unaijuwa google? Teh!