Ali Kiba na Jackline Mengi wateuliwa kuwa mabalozi wa tembo

Ali Kiba na Jackline Mengi wateuliwa kuwa mabalozi wa tembo

Mbona nguo hizo hizo nyeusi kama tulizoziona kwenye shoo yake marekani jamaa kapigika nguo anarudia rudia tu.

Akirudia nguo mwaka mzima shida yako nini. Pili pili usiyoila ya kuwashia nini:what::what:😱😱😱
 
hahaahaaaa....!!!diva umenichekesha..umeona eeehhh...!!!unajua nini..!!vitu vidogo sana hvii...
hasa kudeal na anonymous..!!sishtuki hata akintukana zaidi namshangaa tu!!

Hahaaaa very true watu wanachukulia ushabiki serious mno hadi kujenga michuki watu wanahitaji kwenda kwa wanasaikolojia wanahitaji ushauri. Fake I'd hizi zinawapa watu tatizo.
 
hhhhhhaaaaa I'd I'd mbona wengi wanazo Tu sio kitu cha ajabu buanaaa
Zile nguo za Daimond ambazo alizinunua Uk SI zipo Tu kule kwa kifesi bado hajaanza kuzivaa,tunaomba zile nguo zote tumpe king maana haiwezekani arudie shati Hilo Hilo anatuaibishaaaaa

King jaman hamuonagi Diamond Platinumz jamani linapokuja swala la kunyuka pam a
 
Back
Top Bottom