Ali Kiba na Jackline Mengi wateuliwa kuwa mabalozi wa tembo

Ali Kiba na Jackline Mengi wateuliwa kuwa mabalozi wa tembo

Hivi daimond kawakosea makosa gani mpaka wakampa asiyejua kucheza ushereheshaji bora Eti Ali kiba ndiye mshereheshaji bora?
Hivi bella makosa yake ni yapi nani kama mama ukiimbwa mpaka akina mama wanalia kweli wimbo uliopendwa ni mwana Dar es salaam! Mimi nashauri daimond na bella wajitoe kill music award
 
Positive souls will see that as a figurative language;

KING OF THE JUNGLE:
King = The Leader
Jungle = Music Industry

Figure it out yourself!

Mind you: Afande Sele is also the King (Lion), Isha Mashauzi is the Queen (Lioness). ACCORDING TO THEMSELVES!

I'm Out!


thank uuuuu
 
Vote vote votee.
Sambaza upendo.
Mtafurahi na shoo mwaka huu habari ya mujini ni kuvote for davido hutaki pasuka.
Best male.... davido.
Best collab.....david and uhur.
Best live....mr flavour
Sisi tuna deal na category tatu tuu.
Chezeiyaaaa

Wewe cute b davido kashasema hataki kura za wa tz mnajipendekeza kwake ili nini bora ucpige kura
 
cute b naona umetuchamba sie timu bin laden ,Timu chibu,timu wasafiiiiiiiiii babyyyyyyyyyyyy,hili hapa gazet nimelitoa sehemu muone na nyie mnavyosemwaaa

Kawapa haswa ukweli ni kama angeandika hata gazeti.

Oops Zari anafanya shopping ya nyumba....mtalia pia na kutunga yenu? Tatizo kukunwa kwa wengi tabu wivu wa ovyoooooooo.
 
Last edited by a moderator:
hata sie tunajiaminiii sanaaa unadhan hatujiaminii,,,,mbona mi nakaanga samaki najiamini lionee
Umelisomaa umejuaje kama Kuna matusi au hayapo
Senk youuiu

Najua matusi ndio jadi yenuuu
Mie nalima vitunguu sioni hayaa
Silishwi wala siombi msosi kwa jirani....najiamini.kama wajiamin kwanini useme kuuza vitumbua na uhousegal ni sifa mbaya?
 
Wasanii wengi ni mabalozi katika miradi mbalimbali,diamond ni ambassador katika miradi mingi sana,sema tu sisi hatunaga matangazo

Kwa wenzetu hili ni jambo kubwa sana kwao team kiba kwa sababu walikuwa kwenye Comar ndio maana unaona wanashangilia sana.
Usitegemee mabadiliko yeyote ya kiuchumi kwa king(without palace,means nothing)
Kawaida sana.

Mbona povu jingi taja hiyo miradi basi nasi tuelewe?
 
Hahaaa nothing new gazeti refu hilo hata sijasoma. Hapo zingifuri anajiandaa na gazeti lingine refu na lazma this time amtaje geniveros.

hahahaaaaa......!!!
ifike mahali tuwaambie ukweli tu!!
halafu bas mie nachekaaa...kimberley anamaliza maneno yote maskini!!!

nna rahaje leooo!!!!!sasaaaa.....
kibaaaaaaaaaa forrr real!!!
 
Last edited by a moderator:
Najua matusi ndio jadi yenuuu
Mie nalima vitunguu sioni hayaa
Silishwi wala siombi msosi kwa jirani....najiamini.kama wajiamin kwanini useme kuuza vitumbua na uhousegal ni sifa mbaya?


heheeeee HIV mshanunua fanicha za king au mpaka msaada utoke kwa jack chan
 
Huko ndipo mnapokimbiliaga kila siku.
HAMNA TUSI JIPYAAA.

matusi kitu gani...ilitukanwa mimbaa yangu,nikatukanwa utotoni mpk leo! tusi hilo natoboka jicho....

sina habari mie..nzuri zaidi anonymous....!!!
hahaaahhaaa hawanipi headache....!!!

hapa ni raha tuuu!!!
 
Kuna binadamu wana roho mbaya hata shetani anawaogopa duuuh!
 
cute b naona umetuchamba sie timu bin laden ,Timu chibu,timu wasafiiiiiiiiii babyyyyyyyyyyyy,hili hapa gazet nimelitoa sehemu muone na nyie mnavyosemwaaa

Mwambie tunataka summarize, ndio tutasoma
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom