Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Ila sio poa.Leo kwako kesho kwangu.
Wengi hawajui tu ushabiki ukikithiri ni shiiida kiasi muhimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila sio poa.Leo kwako kesho kwangu.
weeeeeeee komaaaaaa,nilikuta washaanzaa,na wote wabishiii mmeshindwa kumsaidia mwanatimu wenu halaf mseme napuuliza unadhan nitakuwa upande shutuuuu,
Na huyo mwingine ni WiFi yenu jojo wa juzi tu
mkiwa mna hasira msiwe mnakoti watu jamaniii,,mwishowe mnasingizia na wenginee
Jojo ndo wifi, huyo mwingine simTambui
Na sikukomi ng'ooo
Kwa iyo tumekusingizia?
Hata kwenye tbc wamekutangaza
mbona huyu mwingine mnakamtaaa hhhhhaaa Hana kampuni auu kama jojo
hiviiii ushabiki mkishabikia nyie tukishabikia sie ushabiki uliokithiri ,,,,hebu mniwacheeeee timu wasafi mieeee
Nimekuwekea WiFi yako
asavali usiku mwema
Yani sisi sio ushabiki uliokithiri uliokithirishwa na wala sioni haya.
Ila sisi hatujatangazwa tbc bado.
Vipi mbona kama unapaniki?
Ntakushangaa sana kama nawewe una ushamba wa kuchukulia vitu personal ivo kaaa!
hhhhhaaa aaaaa wapii,nyie ndio mnawah kupaniki jamani,ngoja tuwalegezeee
Ukiona tunaepuka shari ujue hatutaki ban, maana kuna bonge la surpriseee linakuja natamani wote tuwemooo yani hilo lazima utatoa pongezi ya sato na migebuka tena utailipia mwenyeweee
Safiii kibaaa safiii hahahha yani mbona umemtia mwenzio hasira hivi???
yaan hata lingekuja linini sie tupo Tu,,,,Sato zipo kibaoo andaa pesa Tu nyingi
Safiii kibaaa safiii hahahha yani mbona umemtia mwenzio hasira hivi???
UtAtoooa bureee nakwambia la sivo utanikoma.
Ntakuwangia hayo masikio huyo domo utaishia kumwona tu hutosikia anachoimba mamaee