Ali Kiba na Millard Ayo washuhudia uzinduzi wa Phantom 6

Ndicho pekee ulichokiona?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tecno wameangalia nani mwenye mvuto na mashabiki wengi.
Poleniiii
Itakua labda wameangalia mwenye viewers wengi YouTube
 
hahahahaha nimechekia sana...
 
Daaaaahhh huku kwetu Bado tuu


Daaaaaaahhh waiter zungusha[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ndicho pekee ulichokiona?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tecno wameangalia nani mwenye mvuto na mashabiki wengi.
Poleniiii
Hawajaangalia wenye mashabiki wengi, wameangalia wanayemudu kumlipa. Wangetaka mwenye mashabiki wengi wangewafata kida Wizkid, Diamond na Davido
 
Acha utetezi usiokuwa na maana.
Hilo ni tukio la heshima,hakupaswa kufanya hivyo.
acha upupu bibie, hizo swagga ndio zimemfanya apendwe na aitwe huko.. kila mtu ana identity yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…