sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,847
Loh nimesoma kwa kuruka kuruka tu.Si wamesema laki 5 hiyo plus sijui ndio laki 6?
Hujasoma habari yote sister?
ila asante mwaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loh nimesoma kwa kuruka kuruka tu.Si wamesema laki 5 hiyo plus sijui ndio laki 6?
Hujasoma habari yote sister?
Koma wewe niffah hajawahi kuzinguaAahh Niffah leo umezingua
Itakua labda wameangalia mwenye viewers wengi YouTubeNdicho pekee ulichokiona?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tecno wameangalia nani mwenye mvuto na mashabiki wengi.
Poleniiii
hahahahaha nimechekia sana...Millard Ayo hizo swaga za earphones ushamba sasa.
Upo ktk stage kubwa unatangazwa mshindi huku umevaa earphone?
Anyways... Matoleo ya Tecno kila uchwao yamenikumbusha member mmoja humu alisema "Ukinunua Tecno toleo la mwisho ukifika nyumbani kabla hujamalizia kuichaji wameshatoa toleo jingine"
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
sijui kwanini alikwenda bila kuchana nyweleKiba anakipilipili
Hahaaa m mwenyewe nimeshindwa kumuelewasijui kwanini alikwenda bila kuchana nywele
Asante mkuu [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji8]Koma wewe niffah hajawahi kuzingua
Sony ndo mpango mzima.. Nipo na li Z2 langu tangu 2014 napiga mzigo tu....Phantom 8 mwez January 2017 zinatoka Ntabaki Sony tuu na SamsungView attachment 409764
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Millard Ayo hizo swaga za earphones ushamba sasa.
Upo ktk stage kubwa unatangazwa mshindi huku umevaa earphone?
Anyways... Matoleo ya Tecno kila uchwao yamenikumbusha member mmoja humu alisema "Ukinunua Tecno toleo la mwisho ukifika nyumbani kabla hujamalizia kuichaji wameshatoa toleo jingine"
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawajaangalia wenye mashabiki wengi, wameangalia wanayemudu kumlipa. Wangetaka mwenye mashabiki wengi wangewafata kida Wizkid, Diamond na DavidoNdicho pekee ulichokiona?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tecno wameangalia nani mwenye mvuto na mashabiki wengi.
Poleniiii
acha upupu bibie, hizo swagga ndio zimemfanya apendwe na aitwe huko.. kila mtu ana identity yakeAcha utetezi usiokuwa na maana.
Hilo ni tukio la heshima,hakupaswa kufanya hivyo.
Waoo umenibusu leo..siaminiAsante mkuu [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Waoo umenibusu leo..siamini
NTecno walete mapinduzi gani ya maana. Kesho watatoa phamtom 8 hata cku haijaisha
mie nahisi wanafanya hivyo kutokana na uhitaji wa teknolojia kwa wateja wao.Tecno walete mapinduzi gani ya maana. Kesho watatoa phamtom 8 hata cku haijaisha
Umeuliza swali la msingi sana na TECNO Mobile wanatakiwa watujibu bei gani hizo simu kwa hapa bongoBei ni shilingi ngapi?
sikusoma tu vizuri bei wameweka hapo chini....baada ya maelezo yao.Umeuliza swali la msingi sana na TECNO Mobile wanatakiwa watujibu bei gani hizo simu kwa hapa bongo
Tecno walete mapinduzi gani ya maana. Kesho watatoa phamtom 8 hata cku haijaisha
kila mtu anauhitaji na simu anayoitaka nahisi ndiyo maana wanajaribu kutoa kila aina ya simu ili kuwaridhisha wateja waoC9 haina hata miezi 6 wao washatoa simu nyingine mwisho wa simu wataua soko