niliona kwenye page zao bei ya Phantom 6 walisema inaanzia sh 590,000 ila kwa Phantom 6 plus bado hawajataja beiUmeuliza swali la msingi sana na TECNO Mobile wanatakiwa watujibu bei gani hizo simu kwa hapa bongo
Kuna siku nilipata nafasi ya kuongea nae mawili machacheMillard Ayo hizo swaga za earphones ushamba sasa.
Upo ktk stage kubwa unatangazwa mshindi huku umevaa earphone?
Anyways... Matoleo ya Tecno kila uchwao yamenikumbusha member mmoja humu alisema "Ukinunua Tecno toleo la mwisho ukifika nyumbani kabla hujamalizia kuichaji wameshatoa toleo jingine"
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji119]Millard Ayo hizo swaga za earphones ushamba sasa.
Upo ktk stage kubwa unatangazwa mshindi huku umevaa earphone?
Anyways... Matoleo ya Tecno kila uchwao yamenikumbusha member mmoja humu alisema "Ukinunua Tecno toleo la mwisho ukifika nyumbani kabla hujamalizia kuichaji wameshatoa toleo jingine"
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Safi sana screpa umetoa jibu murua kabisa nahisi nitalala vizuriHawajaangalia wenye mashabiki wengi, wameangalia wanayemudu kumlipa. Wangetaka mwenye mashabiki wengi wangewafata kida Wizkid, Diamond na Davido
Mkuu tatizo la jf kila mtu anajua mtu hata kufikiri upande wa pili no anachowaza ni ushamba tu wa mtz ila sio kweli kwamba ka jambo linalofanyika ni ushambA asante kwa maelezo yako mkuuKuna siku nilipata nafasi ya kuongea nae mawili machache
Sasa nikajaribu kuangalia kwamakini ile earphone huwa anasikiliza nini muda wote??
nikamuona marachache anaweka kwenye MP3 PLAYER, Na muda mwingi anaiconnect kwenye ''KITONGE'' (recorder).
so nadhani hapo yupo kazini anarecord sauti kwaajili ya kipindi au kwaajili ya kumbukumbu zake binafsi
JF mihemko mingi mpaka watu wanashindwa kufikiria nje ya box,Mkuu tatizo la jf kila mtu anajua mtu hata kufikiri upande wa pili no anachowaza ni ushamba tu wa mtz ila sio kweli kwamba ka jambo linalofanyika ni ushambA asante kwa maelezo yako mkuu
Asante mkuuJF mihemko mingi mpaka watu wanashindwa kufikiria nje ya box,
BTW tupo pamoja mkuu