Ali Kiba na Millard Ayo washuhudia uzinduzi wa Phantom 6

Techno mobile Not Certified for European market NCE
 
Millard Ayo hizo swaga za earphones ushamba sasa.
Upo ktk stage kubwa unatangazwa mshindi huku umevaa earphone?

Anyways... Matoleo ya Tecno kila uchwao yamenikumbusha member mmoja humu alisema "Ukinunua Tecno toleo la mwisho ukifika nyumbani kabla hujamalizia kuichaji wameshatoa toleo jingine"
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna siku nilipata nafasi ya kuongea nae mawili machache
Sasa nikajaribu kuangalia kwamakini ile earphone huwa anasikiliza nini muda wote??
nikamuona marachache anaweka kwenye MP3 PLAYER, Na muda mwingi anaiconnect kwenye ''KITONGE'' (recorder).
so nadhani hapo yupo kazini anarecord sauti kwaajili ya kipindi au kwaajili ya kumbukumbu zake binafsi
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji119]
 
Kuna siku nilipata nafasi ya kuongea nae mawili machache
Sasa nikajaribu kuangalia kwamakini ile earphone huwa anasikiliza nini muda wote??
nikamuona marachache anaweka kwenye MP3 PLAYER, Na muda mwingi anaiconnect kwenye ''KITONGE'' (recorder).
so nadhani hapo yupo kazini anarecord sauti kwaajili ya kipindi au kwaajili ya kumbukumbu zake binafsi
Mkuu tatizo la jf kila mtu anajua mtu hata kufikiri upande wa pili no anachowaza ni ushamba tu wa mtz ila sio kweli kwamba ka jambo linalofanyika ni ushambA asante kwa maelezo yako mkuu
 
JF mihemko mingi mpaka watu wanashindwa kufikiria nje ya box,
BTW tupo pamoja mkuu
 
Back
Top Bottom