Ali Kiba na UKAWA

kielelezo

Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
35
Reaction score
11
King kiba angetunga bonge la nyimbo kwa ajili ya ukawa kwasababu inaonesha ni mpenda mabadiliko siyo kama wale waliyonunuliwa
 
hata Libya walipenda mabadiliko na waliyapata.
usiwe unategemea wanaume y usitunge wewe mteja
 
Kweli kuna watu wapumbavu na malofa sana, hivi munadhani kiba alipewa dili na ccm ila akakataa au ni ccm hawakumtaka??????????? na kama alipewa dili na ccm halafu akakataa basi yeye ni mpumbavu na ni lofa,yaani ndessamburo anapokea dili la ccm kukodi helkopter yake wewe mpumbavu na lofa fulani ukatae hela kisa kuna wapumbavu na malofa fulani watakupiga vita.
 
kijana huwezi kuongea bila kashfa, hiyo siku kiba alikuwa na event mombasa kwahiyo usijudge tu bila uhakika
 
Siyo kashfa mkuu kuna watu wanakera sana huwezi kumponda DIAMOND aliyeamua kuchukua hela kama ambavyo wakina Ndessamburo na mbowe wasivyoziacha,ukamsifie aliyeziacha au ambaye akufatwa au hawakufikiana bei kisa msanii hadi wale wasiompenda toka long na wenyewe wamejiingiza kujifanya wanamponda kwa sababu za kisiasa kumbe wameongezewa sababu.
kijana huwezi kuongea bila kashfa, hiyo siku kiba alikuwa na event mombasa kwahiyo usijudge tu bila uhakika
 
Hakuna watu wanaoniudhi kama wasanii wanaoshabikia CCM!
Eti kina Wellu Sengo nao wakajivesha mijinguo ya CCM mfyuuuuuuuu!

Nyie mnaomuona Ally lofa na mpumbavu hivi mnadhani Kiba hayajui maisha yake??! Pheeeeeww
 
wanaongea tu kwa sababu ni wanazi, laiti kama wasanii kazi zao zingesimamiwa ipasavyo wangekuwa matajiri mno na wasingekata kutoa album, lakini serikali hii ya ccm imeshindwa kabisa kusimamia maendeleo yao, ndo hivyo watu tunatofautiana uelewa
 
Kwani hata hizo pesa sh. ngapi bhana??!!!
khaa!!! Ni mara mia asijihusishe tu na siasa kabisa
 
kwanini hawakumtaka?...kwa hiyo ilikuwa bora shilole kuliko KIBA?.....acha hizo weweeeeeee nyau.
 
hakuna wakumshusha mtu mwenye juhudi zake na mafanikio yk bila Mungu hay a mnayo ongea mbwembwe tu
 
Mbona povu jingi., kwan wewe diamond
 
Hakuna watu wanaoniudhi kama wasanii wanaoshabikia CCM!
Eti kina Wellu Sengo nao wakajivesha mijinguo ya CCM mfyuuuuuuuu!

Nyie mnaomuona Ally lofa na mpumbavu hivi mnadhani Kiba hayajui maisha yake??! Pheeeeeww

unataka wasanii wote wawe ukawa ww ni mpuuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…