Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kuna watu wapumbavu na malofa sana, hivi munadhani kiba alipewa dili na ccm ila akakataa au ni ccm hawakumtaka??????????? na kama alipewa dili na ccm halafu akakataa basi yeye ni mpumbavu na ni lofa,yaani ndessamburo anapokea dili la ccm kukodi helkopter yake wewe mpumbavu na lofa fulani ukatae hela kisa kuna wapumbavu na malofa fulani watakupiga vita.
kijana huwezi kuongea bila kashfa, hiyo siku kiba alikuwa na event mombasa kwahiyo usijudge tu bila uhakika
Hakuna watu wanaoniudhi kama wasanii wanaoshabikia CCM!
Eti kina Wellu Sengo nao wakajivesha mijinguo ya CCM mfyuuuuuuuu!
Nyie mnaomuona Ally lofa na mpumbavu hivi mnadhani Kiba hayajui maisha yake??! Pheeeeeww
wanaongea tu kwa sababu ni wanazi, laiti kama wasanii kazi zao zingesimamiwa ipasavyo wangekuwa matajiri mno na wasingekata kutoa album, lakini serikali hii ya ccm imeshindwa kabisa kusimamia maendeleo yao, ndo hivyo watu tunatofautiana uelewa
hata Libya walipenda mabadiliko na waliyapata.
usiwe unategemea wanaume y usitunge wewe mteja
Kweli kuna watu wapumbavu na malofa sana, hivi munadhani kiba alipewa dili na ccm ila akakataa au ni ccm hawakumtaka??????????? na kama alipewa dili na ccm halafu akakataa basi yeye ni mpumbavu na ni lofa,yaani ndessamburo anapokea dili la ccm kukodi helkopter yake wewe mpumbavu na lofa fulani ukatae hela kisa kuna wapumbavu na malofa fulani watakupiga vita.
nimeipenda ahahahahahahahata Libya walipenda mabadiliko na waliyapata.
usiwe unategemea wanaume y usitunge wewe mteja
achaga upuuzi ww una la kupostKing kiba angetunga bonge la nyimbo kwa ajili ya ukawa kwasababu inaonesha ni mpenda mabadiliko siyo kama wale waliyonunuliwa