Ali Kiba ndo kajimaliza kimuziki...

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Najiuliza hasa faida ya Kiba kusainiwa na timu Coast ya Tanga,hii ni dalili tosha kabisa jamaa muziki ushamshinda mana kwa vyovyote hawezi kubalance kazi zote mbili huku kambi na mazoezi ya soka,huku muziki na show za hapa na pale....to me jamaa kajichanganya na kawachamganya mashabiki zake na kuna upande ata loose tu....what a failure.
 
Umshinde mara ya ngapi? Kibakuli na Simba wanatembelea NYOTA za MATIMU tu,Muziki wote umewashinda.
Diamond majuzi kaja New York City.

Kapiga show.

Hata watu 50 hakupata.

Na kati ya hao 30 walikuja kuwaangalia ma star wa Caribbean. Wabongo walikuwa kama 20 tu.

Nikasema mi nilijua haya yatakuwa hivi kabla hayajatokea.
 
Bora Akili Kubwa Kiranga umeongea ukweli,ujue hizi TIMU ndio zinasababisha wanamuziki wetu kufeli kwasababu tuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa,hata kazi ikiwa mbaya MATIMU wanaibeba,wanashinda kwenye Youtube kuongeza Views kuwaaminisha walaji kazi ni nzuri wakati si kweli.

Inasikitisha sana kwa kweli,ma_managers wa wasanii wasikilize ushauri wa wataalamu wa mziki na si TIMU_VIMA,Jamaa wameshuka sana kimuziki.
 
Diamond majuzi kaja New York City.

Kapiga show.

Hata watu 50 hakupata.

Na kati ya hao 30 walikuja kuwaangalia ma star wa Caribbean. Wabongo walikuwa kama 20 tu.

Nikasema mi nilijua haya yatakuwa hivi kabla hayajatokea.
Mbona walisema eti Sold out!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…