Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Najiuliza hasa faida ya Kiba kusainiwa na timu Coast ya Tanga,hii ni dalili tosha kabisa jamaa muziki ushamshinda mana kwa vyovyote hawezi kubalance kazi zote mbili huku kambi na mazoezi ya soka,huku muziki na show za hapa na pale....to me jamaa kajichanganya na kawachamganya mashabiki zake na kuna upande ata loose tu....what a failure.