Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hawa watu wengine wanahitaji kufuta ujinga kwanza wajue kusoma, kuandika na kuhesabu kabla ya kuanza kubishana hapa.
kwangwaruDiamond wa Mbagala,Kamwambie na nitarejea ni tofauti wa sasa,Ali Kiba wa Macmuga,Cinderella sio huyu wa sasa,TIMU ndio zinawabeba na si muziki ni sawa na mshabiki/nyumbu wa chama fulani, wao ni kushabikia hata serikali ikifanya madudu yeye ni kushabikia tu bila logic.
Hilo somo linaitwa ufahamu, kwa kiingereza "comprehension".Mazee, kujua kusoma ni suala moja. Kuelewa ulichokisoma ni suala jingine.
Mi nakumbuka shuleni [msingi], kwenye masomo ya Kiswahili na Kiingereza tulikuwa tunapewa insha tunaisoma halafu baadaye tunajibu maswali.
Lengo kuu lilikuwa ni kupima kama tumeelewa tulichokisoma!
Siku hizi kusoma na kuelewa kumekuwa janga!
Yani swali lako rais wa wabeba box linaonesha jinsi hizi shows zilivyokosa promo.
Alikuwa hapo Manhattan, show imeflop, amepata about 50 people, most of those, about 30, walikuja kuangalia ma star wengine wa Caribbean, wabongo walikuwa kama 20 hivi.
Show imewekwa katikati ya wiki halafu hakukuwa na promo ya kutosha.
Next nikawa naona message za Whatsapp tunaombwa tutokee shows zinazofuata shows zipate watu.
Nikija ku state facts hapa, washabiki wengine wanaendekeza ushabiki kuliko analysis.
Diamond alikuwa na US tour?
Madison Square Garden kuwa main event ni kiwango cha msanii wa kimataifa aliyefikia kuwa household name in the US.Kwanini huyu Diamond anapiga shows zake za US kwenye clubs tena ndogondogo na si kwenye amphitheaters?
Why not Madison square garden hapo NYC?
Kuuliza si ujinga
Madison Square Garden kuwa main event ni kiwango cha msanii wa kimataifa aliyefikia kuwa household name in the US.
Wwaafrika wanaoenda hapo kufanya show wana majina kama Angelique Kidjo na Baba Maal, wanakuwa part of a large show, kitu ambacho Diamond anaweza pia kufanya (hapo ndipo kazi ya reps wake inapoweza kujulikana), lakini hata hao kina Angelique Kidjo (who is now a New York resident) sijawahi kusikia Mis Kidjo anakuwa main event MSG.
Diamond hajafikia kiwango hicho.
Na simaanishi kum slight Diamond.
Kuna wasanii kibao wa Marekani wanaojulikana kuliko Diamond hawajawahi kufanya show Madison Square Garden kama main event.
Labda kama ana play as part of opening acts.
Kwa sasa kumtaka Diamond a play MSG kama main event ni kum set up for failure.
Angepiga hapo BB King's Blues Club tu Times Square ningemuona amepiga show kubwa New York City.
I believe Diamond amepiga Hammerstein if I am not mistaken. Kuna msanii wa bongo alipiga hapo nikaalikwa na rafiki zangu sikuwa na muda. I think it was Diamond. Ilikuwa part ya wasanii wengi, si main event ya msanii mmoja.Ok ok ok
MSG ni level nyingine basi hata pale Hammerstein ball room?
Kumpeleka Diamond all the way to the US then akapige kwenye local clubs tena sio the likes of 40 Below ni kumdhalilisha
I believe Diamond amepiga Hammerstein if I am not mistaken. Kuna msanii wa bongo alipiga hapo nikaalikwa na rafiki zangu sikuwa na muda. I thinknit was Diamond. Ilikuwa part ya wasanii wengi, si main event ya msanii mmoja.
Mazee usinijumuishe jumuishe na habari habari zisizo na mguu wala kichwa.Sasa mlituambia angeperdorm World Cup na Will Smith mbona hatukumwona?
Mazee usinijumuishe jumuishe na habari habari zisizo na mguu wala kichwa.
Nikikuuliza nilikuambia hivyo na nani wapi unaweza kunionesha na kuthibitisha kwamba habari za mimi kusema hayo si uzushi utaweza kuthibitisha?
Sio suala la ku mind.Usijali mkuu
Just trying to have a sense of humor here.
My bad kama umemind
Hivi hizi show za US zinaela au promo tu?Yani swali lako rais wa wabeba box linaonesha jinsi hizi shows zilivyokosa promo.
Alikuwa hapo Manhattan, show imeflop, amepata about 50 people, most of those, about 30, walikuja kuangalia ma star wengine wa Caribbean, wabongo walikuwa kama 20 hivi.
Show imewekwa katikati ya wiki halafu hakukuwa na promo ya kutosha.
Next nikawa naona message za Whatsapp tunaombwa tutokee shows zinazofuata shows zipate watu.
Nikija ku state facts hapa, washabiki wengine wanaendekeza ushabiki kuliko analysis.
KwendaaaDiamond majuzi kaja New York City.
Kapiga show.
Hata watu 50 hakupata.
Na kati ya hao 30 walikuja kuwaangalia ma star wa Caribbean. Wabongo walikuwa kama 20 tu.
Nikasema mi nilijua haya yatakuwa hivi kabla hayajatokea.
Kwake yeye mwanamuziki analipwa kiasi anachosema, makubaliano kabla ya show hayajali watakuja watu 10 au 10,000.Hivi hizi show za US zinaela au promo tu?
Mana unakuta show zake kwenye page ya insta anazopost watu hawafiki 200.
Sasa kwa idadi hiyo inawezaje kumudu gharama za kumsafirisha yeye ma dancers wake na wapambe wengine?
Au huko show tiketi ni milioni moja?
Kiranga usipoteze muda kubishana na Vitoto hivi vya 17 -18 ,hivi ndio matimu "KIMBA" tunaowazungumzia wanaompoteza MONDI/KIBA,yaani haelewi hata tunazungumzia nini yeye anakurupuka utafikiri katoka usingizini.Sijaongelea mtu, nimeongelea idea, kama una akili fupi lazima utaishia kuona nimeongelea mtu hata kama nimeongelea idea.
Small minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas.
Mazee kushare habari kwamba Diamond hakupata watu Manhattan ni wivu? Mimi nashindanaje na Diamond wakati si mwanamuziki na maisha yangu na ya Diamond tofauti kabisa? Naanzaje kumuonea wivu mtu ambaye simjui? Maisha yangu yako poa, nimuonee wivu Diamond kwa nini?
Kwa kuandikwa kwenye magazeti kila siku? Wakati mimi napenda privacy katika maisha yangu?
Hizi habari za kuita criticism ni wivu ni moja ya sababu Watanzania hatuendelei, hawa wasanii wanatakiwa wajifunze kuwa professionals na kwenda kwenye standards za kimataifa, watu wakisema hilo, hilo si wivu.
Wachukulie kama constructive criticism. Unaelewa constructive criticism ni nini?
Usilete mahaba kwenye watu wanaoongea kwa principles ndefu zaidi ya mihemuko ya ushabiki.
Madagascar si New York City ndugu yangu, sijataja Madagascar, sijui ya Madagascar, nmetaja ya New York City ninakokaa.
Wwapi nimesema Diamond hawezi kujaza uwanja wa mpira?
Nimesema New York City hakupata watu, tena wala sijasema hajapata watu kwa makosa yake, nimeongelea issues za lack of promotion na bad timing.
Ila mtu unayeendekeza ushabiki badala ya kujua kusoma kama wewe utaona nimemlaumu Diamond kwa kukosa watu.
Wakati Diamond si mtu anayefanya promotion ya show yake, kuna promoters na team kubwa tu ambayo ina kazi hii.
Obviously hujui kusoma, una matatizo ya elimu ya msingi na unaendekeza ushabiki zaidi ya uchunguzi wa facts.
Fact ni kwamba show ya Diamond ya New York City ime flop, na hicho ndicho nilichoandika.
Sijaandika Diamond hawezi kujaza uwanja, sijasema hajajaza uwanja Madagascar.
Sasa kwa nini unaleta mambo ambayo mimi sijasema kama mimi nimesema?
Unajua kusoma wewe?
Lazima wafundishwe. Wasipofundishwa watapotea.Kiranga usipoteze muda kubishana na Vitoto hivi vya 17 -18 ,hivi ndio matimu "KIMBA" tunaowazungumzia wanaompoteza MONDI/KIBA,yaani haelewi hata tunazungumzia nini yeye anakurupuka utafikiri katoka usingizini.
πππππππππππ okay tuwape nondo tuzibue bongo lala zao.Lazima wafundishwe. Wasipofundishwa watapotea.
Wakifundishwa halafu wasifuate mafundisho, hilo ni tatizo lao.
Hagiography is not a strategy to success.