samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Bidada umetoa povu tu,lakini ulichokusudia kukisema HAKIJAELEWEKA.achana na story za vijiweni,penda kufatilia mambo mwenyewe...nani If inayotamba ni ya nani??? na Fall je? Nobody ugly kaimba nani??? ukishajua jisome upya ulichoandika...usikute hata mziki hufatilii.