Ali kiba ndo kashapotea au

achana na story za vijiweni,penda kufatilia mambo mwenyewe...nani If inayotamba ni ya nani??? na Fall je? Nobody ugly kaimba nani??? ukishajua jisome upya ulichoandika...usikute hata mziki hufatilii.
Bidada umetoa povu tu,lakini ulichokusudia kukisema HAKIJAELEWEKA.
 
Bidada umetoa povu tu,lakini ulichokusudia kukisema HAKIJAELEWEKA.
kwasababu huzijui hata hizo nyimbo nilizotaja ndomana unaona nyota[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Nahitaji jibu huyu jamaa yuko wapi siku hizi maana hasikiki kabisa au tayari kapuni na vipi zile show zake za ugaibuni kaisha maliza

masikini kiba hasikiki tena so sad kweli

Wewe hujui kama huu mwezi wa ramadhani watu wanaojua maana yake hukaa wakatubu sio kutoa manyimbo mwezi huu
 
Music ndivyo ulivyo, wajanja hawakai kwenye music muda mrefu wanaanzisha miradi yao mingine maisha yanaendelea
Sema Kiba alikuwepo, (past tense). Huu wakati wa sasa haumfai na haitajiki.
 
Nahitaji jibu huyu jamaa yuko wapi siku hizi maana hasikiki kabisa au tayari kapuni na vipi zile show zake za ugaibuni kaisha maliza

masikini kiba hasikiki tena so sad kweli
Na kakaake Dimpoz kwa Poz
 
achana na story za vijiweni,penda kufatilia mambo mwenyewe...nani If inayotamba ni ya nani??? na Fall je? Nobody ugly kaimba nani??? ukishajua jisome upya ulichoandika...usikute hata mziki hufatilii.
Davido n sony walizenguana na aka mtimua meneja wake alimsingnisha huo mkataba baada hapo waka kubaliana na Sony yeye hata push track zke pekee yke za afrika wao sony wata deal nae aki fanya track za international na wasibane ndo maana izi If na Fall anazisukuma yeye mwenywe Sony na RCA hawahusiki nazo ndo imekuwa pona yake
 
Jamaa alikuwa na point ila kashindwa kuiweka vizuri kama mimi vilevile kuhusu Sony ,hata mm naona kuna wakati Davido alipoa au kupotea kabisa kwa muda mrefu kwa kunana na sony (nipo tayari kurekebishwa)
walikuja ku modify mkataba ndo ikawa pona ya Davido wao Sony na RCA watasukuma ngoma zake za international yeye Davido hatakuwa ana deal na Afrika tu solo project zake
 
achana na story za vijiweni,penda kufatilia mambo mwenyewe...nani If inayotamba ni ya nani??? na Fall je? Nobody ugly kaimba nani??? ukishajua jisome upya ulichoandika...usikute hata mziki hufatilii.
+Away + Bank Alert!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…