Ali Kiba ni Hakimi mtarajiwa. Anasema hana nyumba, anaishi kwenye nyumba za mamake

Ali Kiba ni Hakimi mtarajiwa. Anasema hana nyumba, anaishi kwenye nyumba za mamake

Imeandikwa kinyume nyume.

Ni mke wake mzungu.
Vipi kuhusu Nwanko Kanu? Nauliza hivi kwasabb kumbukumbu zangu zinaniambia kuna mchezaji mmoja wa Nigeria kapigwa mali zake na ukoo wa mamake. Sema ndiyo sikumbuki vema.
 
Mali yangu ni ya mke wangu na watoto wangu,inakuwa haina maana umeoa umepata watoto halafu mali zako unaandikisha jina la mama yako!

Inategemea umeoa ukiwa na nini na mke ana mchango gani ?

Wanawake ulioanza nao maisha mfano mmefunga ndoa mkiwa under 25 na mna maelewano mazuri na ndoa yenye amani.. huyo huwezi mpinga kwenye mali zako.

Ila mwanamke mmefunga ndoa mkiwa above 30s.. amekitombeshaz wee baada ya kuona una pesa na maliii ndio kajilengesha ndoa.. huyoo lazima uende nae kimachale machale
 
Mali yangu ni ya mke wangu na watoto wangu,inakuwa haina maana umeoa umepata watoto halafu mali zako unaandikisha jina la mama yako!
Labda kama unaongelea wanawake wanawake waliozaliwa 1979 kushuka chini ila waliozaliwa baada ya hapo hawaaminiki. Washajua sheria ya ndoa na mahusiano inawapendelea wanatumia huo mwanya kufanya upigaji
 
Huyu jamaa hadindishi sawasawa
 
Back
Top Bottom