Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fainali ya champions league Iko chini ya UEFA hata kama isingeingia Manchester city angeenda kutumbuiza.Drake ni chiccago lialia lakini anaendaga kwenye game za Lakers
Farhan kaandika fact sana..Tunautoa mpira kwenye burudani tunahamia kwenye Biashara..hizi mentality za msanii ni yanga huyu ni Simba zipitwe na wakati sote tunajua ni upepo tu..
Burna boy ni Man U l kindaki na ashasema anaichukia city baada kupokea kipigo cha 6-3 lakini UCL ndo alitumbwiza shoo la kibabe.Na akapiga picha na kina grealish.angekataa kisa yeye ni Man U lia lia???
Achana na hilo Juha ( Fool ) Mkuu Ok?if ndio wapi mkuu?
Na Wewe punguza 'Kuwekwa' kusiko kwa lazima.Punguza makasiriko yasiyo lazima...
Hata Iman Kajura, Gentamycine nao ni wananchi lia lia, ni basi tu hawajui, ila sisi tunajua ni wenzetu. Macho Msimbazi, roho Jangwani na Twiga. Kwa waliosoma Cuba tu ndiyo wanaweza kuelewa hili.GENTAMYCINE sijashangaa sana kwa hili la Ali Kiba ( mwana Yanga SC lia lia kwa 100% ) kuhamia Simba SC kwani kama Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu ni mwana Yanga SC lia lia, Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC lia lia, Mjumbe wa zamani Simba SC ( tena nimesoma nae Sekondari ) Said Tuli ( sasa ni Mshauri Kivuli wa Klabu ya Simba ) japo ni Wakala wa Wachezaji ni mwana Yanga SC lia lia, Mratibu wa Timu Abbas nae akiwa ni mwana Yanga SC lia lia na Fred Ngajiro ( Fred Vunjabei ) aliyekuwa Kit Sponsor Wetu alikuwa na ni mwana Yanga SC lia lia kwanini na Yeye Kirusi Ali Kiba asiwe mwana Simba SC Usoni ila mwana Yanga SC rohoni?
Halafu Yanga SC wakisema ( tena kwa Kutamba ) kuwa Watakuwa Mabingwa wa NBC Premier League na kwamba watatufunga mno Simba SC huwa mnawakatalia na hamuwaelewi.
Hovyo kabisa yaani Mtu ana Bifu lake la Kushindwa Mziki na Kubanduliwa ampendae na Mwamba Nasib na kamshindwa kuona atafute Msaada wa Kusapotiwa Kimuziki na Kurudishwa katika Chati akaona aje Kwetu Mimbumbumbu ( Fools ) na kweli tumempokea na tarehe 6 August, 2023 tunaenda Kumpandisha Chati kisha akisharejea katika Kiwango chake mwakani anarejea zake Yanga SC anakokupenda zaidi.
Yaani Ali Kiba ambaye aligombana na Mchezaji Haruna Fafhil Hakizimana Niyonzima alipoihama Yanga SC na kuja Simba SC hadi Wakaufuta Urafiki na Kukacha kabisa Kuntembelea Niyonzima alipokuwa akikaa Sinza leo hii anakuja Kutubania Pua yake na kusema.... kuanzia leo Mimi ni mwana Simba SC.....
Yaani mmenikera na kuniboa Kweli!!
Unajua huo mstari wa mwisho kwenye post yako ndiyo ukweli. Jana wakati wa tukio lenyewe nimekieleza hivyo hivyo ila wapenzi wa Simba sc nusura wanile nyama.Kuna ujinga mwingi unaendelea Simba, wengi wetu tumekuwa mashabiki bila kupewa ushawishi na yeyote. Ndio maana tunawashangaa wale wanaosema wanahamia upande was pili kwa sisi mashabiki ni rahisi kuhama dini kuliko kuhamia timu nyingine.
Makosa yalianza kwa kumchukua Manara wakati anajulikana ni Yanga kwa sababu ya kujibu nyodo na kelele za Jerry Muro. Senzo kuhamia yanga haikuwa tatizo kubwa kwa sababu hakuwa na historian ya ushabiki was hizo timu Toka swali isitoshe alikuja Tanzania kikazi zaidi.
Babra kama akienda yanga lawama lazima zimwendee mo kwani yeye ndiye aliyemleta pia ni mtanzania. Diamond kushawishiwa kuwa shabiki was Simba pamoja na Ali Kiba inaonyesha viongozi tulionao Simba hawajui utamaduni was Simba na wako pale kujitafutia umaarufu binafsi.
Wapo wasio na akili watakupinga Kwa hili. Nawasubiri ili niwahesabu.GENTAMYCINE sijashangaa sana kwa hili la Ali Kiba ( mwana Yanga SC lia lia kwa 100% ) kuhamia Simba SC kwani kama Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu ni mwana Yanga SC lia lia, Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC lia lia, Mjumbe wa zamani Simba SC ( tena nimesoma nae Sekondari ) Said Tuli ( sasa ni Mshauri Kivuli wa Klabu ya Simba ) japo ni Wakala wa Wachezaji ni mwana Yanga SC lia lia, Mratibu wa Timu Abbas nae akiwa ni mwana Yanga SC lia lia na Fred Ngajiro ( Fred Vunjabei ) aliyekuwa Kit Sponsor Wetu alikuwa na ni mwana Yanga SC lia lia kwanini na Yeye Kirusi Ali Kiba asiwe mwana Simba SC Usoni ila mwana Yanga SC rohoni?
Halafu Yanga SC wakisema ( tena kwa Kutamba ) kuwa Watakuwa Mabingwa wa NBC Premier League na kwamba watatufunga mno Simba SC huwa mnawakatalia na hamuwaelewi.
Hovyo kabisa yaani Mtu ana Bifu lake la Kushindwa Mziki na Kubanduliwa ampendae na Mwamba Nasib na kamshindwa kuona atafute Msaada wa Kusapotiwa Kimuziki na Kurudishwa katika Chati akaona aje Kwetu Mimbumbumbu ( Fools ) na kweli tumempokea na tarehe 6 August, 2023 tunaenda Kumpandisha Chati kisha akisharejea katika Kiwango chake mwakani anarejea zake Yanga SC anakokupenda zaidi.
Yaani Ali Kiba ambaye aligombana na Mchezaji Haruna Fafhil Hakizimana Niyonzima alipoihama Yanga SC na kuja Simba SC hadi Wakaufuta Urafiki na Kukacha kabisa Kuntembelea Niyonzima alipokuwa akikaa Sinza leo hii anakuja Kutubania Pua yake na kusema.... kuanzia leo Mimi ni mwana Simba SC.....
Yaani mmenikera na kuniboa Kweli!!
Comment yako iko sahihi 100%. Lakini kichofanyika ni tofauti. Nionyeshe wapi Man City walimtangaza Burner Boy kama shabiki wao zaidi ya kichukuliwa kama mtumbuizaji?Drake ni chiccago lialia lakini anaendaga kwenye game za Lakers
Farhan kaandika fact sana..Tunautoa mpira kwenye burudani tunahamia kwenye Biashara..hizi mentality za msanii ni yanga huyu ni Simba zipitwe na wakati sote tunajua ni upepo tu..
Burna boy ni Man U l kindaki na ashasema anaichukia city baada kupokea kipigo cha 6-3 lakini UCL ndo alitumbwiza shoo la kibabe.Na akapiga picha na kina grealish.angekataa kisa yeye ni Man U lia lia???
Nasikitika kuona Genius kama Wewe unapoteza muda wako Kulielimisha hilo Juha ( Moron ) lililoandika Post ndefu yenye Pumba tupu.Comment yako iko sahihi 100%. Lakini kichofanyika ni tofauti. Nionyeshe wapi Man City walimtangaza Burner Boy kama shabiki wao zaidi ya kichukuliwa kama mtumbuizaji?
Anachomaanisha Genta ndicho ulichoandika Mkuu. Timu zinatakiwa kuwaambia mashabiki wake kwenye tamasha letu atakuwepo Msanii Fulani na Fulani na siyo kuwadanganya Diamond kabadili timu au Kiba Kabadili timu ya kushabikia.Nadhani team hazina tatizo lolote kuhusu mtu anayepaswa kuhudhuria tamasha lao sio lazima.awe mshabiki wao ila jambo la msingi ni yeye msanii kufanya ubunifu ambao mashabiki halisi watapata hamasa.
Hiki ndicho alichofanya Kiba. Kiba ni Yanga damu ila makolo wameaminishwa na watajaa kujisikia ile siku ya club yao sababu its just a mind game.
Hata Diamond mwenyewe anajulikana ni Simba damu ila alisema amehamia Yanga eti sababu ya Manara ila ukweli unajulikana alikuwa na deals zake tu.
Kwa mashabiki halisi wa hizi team ukiwa na hasira utaumia sana ila hata wewe ukipewa deal la kuvaa jezi ya simba ingali wewe ni Yanga na wakasema watakulipa milioni 100 hivi utakataa kisa unashabikia Yanga? Ushabiki upo damuni ila hiyo ya biashara wala haisumbui japo nami imeniuma maana pia mie ni team Kiba hapo tu[emoji16]
Hapo hakuna bifu bro juzi tu Abdul kiba alikua nyumbani kwa diamond na wote wameposti na each one follows the other kwenye account zao za InstagramGENTAMYCINE sijashangaa sana kwa hili la Ali Kiba ( mwana Yanga SC lia lia kwa 100% ) kuhamia Simba SC kwani kama Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu ni mwana Yanga SC lia lia, Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC lia lia, Mjumbe wa zamani Simba SC ( tena nimesoma nae Sekondari ) Said Tuli ( sasa ni Mshauri Kivuli wa Klabu ya Simba ) japo ni Wakala wa Wachezaji ni mwana Yanga SC lia lia, Mratibu wa Timu Abbas nae akiwa ni mwana Yanga SC lia lia na Fred Ngajiro ( Fred Vunjabei ) aliyekuwa Kit Sponsor Wetu alikuwa na ni mwana Yanga SC lia lia kwanini na Yeye Kirusi Ali Kiba asiwe mwana Simba SC Usoni ila mwana Yanga SC rohoni?
Halafu Yanga SC wakisema ( tena kwa Kutamba ) kuwa Watakuwa Mabingwa wa NBC Premier League na kwamba watatufunga mno Simba SC huwa mnawakatalia na hamuwaelewi.
Hovyo kabisa yaani Mtu ana Bifu lake la Kushindwa Mziki na Kubanduliwa ampendae na Mwamba Nasib na kamshindwa kuona atafute Msaada wa Kusapotiwa Kimuziki na Kurudishwa katika Chati akaona aje Kwetu Mimbumbumbu ( Fools ) na kweli tumempokea na tarehe 6 August, 2023 tunaenda Kumpandisha Chati kisha akisharejea katika Kiwango chake mwakani anarejea zake Yanga SC anakokupenda zaidi.
Yaani Ali Kiba ambaye aligombana na Mchezaji Haruna Fafhil Hakizimana Niyonzima alipoihama Yanga SC na kuja Simba SC hadi Wakaufuta Urafiki na Kukacha kabisa Kuntembelea Niyonzima alipokuwa akikaa Sinza leo hii anakuja Kutubania Pua yake na kusema.... kuanzia leo Mimi ni mwana Simba SC.....
Yaani mmenikera na kuniboa Kweli!!
Milioni mia yote mie hata elfu 10 tuu navaaNadhani team hazina tatizo lolote kuhusu mtu anayepaswa kuhudhuria tamasha lao sio lazima.awe mshabiki wao ila jambo la msingi ni yeye msanii kufanya ubunifu ambao mashabiki halisi watapata hamasa.
Hiki ndicho alichofanya Kiba. Kiba ni Yanga damu ila makolo wameaminishwa na watajaa kujisikia ile siku ya club yao sababu its just a mind game.
Hata Diamond mwenyewe anajulikana ni Simba damu ila alisema amehamia Yanga eti sababu ya Manara ila ukweli unajulikana alikuwa na deals zake tu.
Kwa mashabiki halisi wa hizi team ukiwa na hasira utaumia sana ila hata wewe ukipewa deal la kuvaa jezi ya simba ingali wewe ni Yanga na wakasema watakulipa milioni 100 hivi utakataa kisa unashabikia Yanga? Ushabiki upo damuni ila hiyo ya biashara wala haisumbui japo nami imeniuma maana pia mie ni team Kiba hapo tu😁