Ali Kiba ni mwana Yanga SC 100% kaja Simba SC ili tu Kuungwa mkono na Vita yake dhidi ya Hasimu wake Diamond Platnumz

Ndivyo maisha yalivyo namtolea mfano mtu kama ahmed Ally huyo jamaa namfahamu vizuri sana huyo ni yanga lialia na hata kwetu yanga pia tunae canavaro huyo kiasili ni shabiki wa simba ila je wasiaminiwe?
 
Pesa haina nembo ya simba au yanga
Kazi yake kutumbiza tu
Akipata maokoto watoto wakaenda shule
Kuna shida gani?
Pesa ni pesa
 
Fainali ya champions league Iko chini ya UEFA hata kama isingeingia Manchester city angeenda kutumbuiza.


Simba day Iko chini ya Simba sports club. Kutuletea wanamuziki wa yanga hatutaki. Kuna wasanii ni Simba miaka Nenda Rudi, Msaga sumu , tumekuwa nae uwanja wa taifa miaka Nenda Rudi na vibao vyake. Labda kama Huwa huendi uwanja wa taifa. Tunda man n.k ...

Hao wana yanga hiyo siku tunaenda kuwazomea.


Kaangalie parade la Manchester city kutwaa ubingwa wa Uefa uone wasanii waliotumbuiza uone kama Kuna hata mmoja sio shabikibwa city.
 
Kuna ujinga mwingi unaendelea Simba, wengi wetu tumekuwa mashabiki bila kupewa ushawishi na yeyote. Ndio maana tunawashangaa wale wanaosema wanahamia upande was pili kwa sisi mashabiki ni rahisi kuhama dini kuliko kuhamia timu nyingine.
Makosa yalianza kwa kumchukua Manara wakati anajulikana ni Yanga kwa sababu ya kujibu nyodo na kelele za Jerry Muro. Senzo kuhamia yanga haikuwa tatizo kubwa kwa sababu hakuwa na historian ya ushabiki was hizo timu Toka swali isitoshe alikuja Tanzania kikazi zaidi.
Babra kama akienda yanga lawama lazima zimwendee mo kwani yeye ndiye aliyemleta pia ni mtanzania. Diamond kushawishiwa kuwa shabiki was Simba pamoja na Ali Kiba inaonyesha viongozi tulionao Simba hawajui utamaduni was Simba na wako pale kujitafutia umaarufu binafsi.
 
Hata Iman Kajura, Gentamycine nao ni wananchi lia lia, ni basi tu hawajui, ila sisi tunajua ni wenzetu. Macho Msimbazi, roho Jangwani na Twiga. Kwa waliosoma Cuba tu ndiyo wanaweza kuelewa hili.
 
Unajua huo mstari wa mwisho kwenye post yako ndiyo ukweli. Jana wakati wa tukio lenyewe nimekieleza hivyo hivyo ila wapenzi wa Simba sc nusura wanile nyama.
 
Sports sio uadui,,

Kama Manara alihamia Yanga basi hata kwa Kiba kuja Simba sio ajabu.
 
Wapo wasio na akili watakupinga Kwa hili. Nawasubiri ili niwahesabu.
 
Comment yako iko sahihi 100%. Lakini kichofanyika ni tofauti. Nionyeshe wapi Man City walimtangaza Burner Boy kama shabiki wao zaidi ya kichukuliwa kama mtumbuizaji?
 
Comment yako iko sahihi 100%. Lakini kichofanyika ni tofauti. Nionyeshe wapi Man City walimtangaza Burner Boy kama shabiki wao zaidi ya kichukuliwa kama mtumbuizaji?
Nasikitika kuona Genius kama Wewe unapoteza muda wako Kulielimisha hilo Juha ( Moron ) lililoandika Post ndefu yenye Pumba tupu.
 
Anachomaanisha Genta ndicho ulichoandika Mkuu. Timu zinatakiwa kuwaambia mashabiki wake kwenye tamasha letu atakuwepo Msanii Fulani na Fulani na siyo kuwadanganya Diamond kabadili timu au Kiba Kabadili timu ya kushabikia.
 
Hapo hakuna bifu bro juzi tu Abdul kiba alikua nyumbani kwa diamond na wote wameposti na each one follows the other kwenye account zao za Instagram
 
Milioni mia yote mie hata elfu 10 tuu navaa
 
Hiyo ni kawaida HAJI manara simba ila yupo yanga KIKAZI OMMY DIMPOZ SIMBA YUPO GSM KIKAZI LABDA USEME HAUMKUBALI ALIKIBA KIMZIKI UNAMKUBALI MOND UTAELEWEKA MBONA DIAMOND SIMBA ILA SIKU YA KUTEMBEZA KOMBE LA LIGIKUU JANGWANI AKAPIGA SHOW ATUKULALAMIKA TEAM WANANCHI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…