Ali Kiba ni mwana Yanga SC 100% kaja Simba SC ili tu Kuungwa mkono na Vita yake dhidi ya Hasimu wake Diamond Platnumz

Anachomaanisha Genta ndicho ulichoandika Mkuu. Timu zinatakiwa kuwaambia mashabiki wake kwenye tamasha letu atakuwepo Msanii Fulani na Fulani na siyo kuwadanganya Diamond kabadili timu au Kiba Kabadili timu ya kushabikia.
Yap yap
 
Usiumie mm pia ni team kiba na ni yanga na nitabakia hivyo hivyo bila kujali kilichotokea
 
Naona bora angeitwa kama mtumbuizaji tu,na sio fan..cos wana lunyasi tunawafahamu fika ni kina tunda man,hao wengine ni njaa kali tu.(ingawa haya mambo ya soka na muziki tusiyachukulie serious sana!)
 
Umeandika point za msingi sana, kuna wajinga wachache ndio wanajizima data.

Ally Kiba kimuziki, kimafanikio, kipesa na ni mashabiki amafunikwa na Diamond ili halina ubishi wala mjadala, hata ukipita Instagram nadhani Diamond huenda ndio Mtanzania mwenye followers wengi zaidi sina data katika hili.

Anachokifanya Ally Kiba sasa hivi ni kutumia platform ya Simba kumboost kwa sababu wanajuwa wazi kwa mashabiki oyaoya hawatojari uzuri wa kazi Bali huyu ni Simba mwenzetu.

Nimesikiliza na kuangalia clip ya hiyo nyimbo Simba unyama ya Kiba hapo hamna kitu lakini utashangaa mashabiki oyaoya watakavyoipaisha.

Na kwakuwa Simba na Yanga vina mashabiki waliolewa bangi ya ututusa hata mama Samia haji Simba day kwa bahati Mbaya, unaweza kukuta ni ikulu ndio imewataka Simba mama awe Mgeni rasmi upo uwezekano Simba hawajaomba wala hawakuwa na plan ya kumualika mama, lakini platform ya Simba day unakwenda kutumika kwa Political mileage.

Jitu Jizi kama GSM ukimnyooshea kidole ujuwe unawatafuta ubaya watu wa Yanga bila wao kuona ukweli kwamba huyo ni muhujumu uchumi.

Lakini ukitaka kula na mazezeta Wewe chaguwa Simba au Yanga Ingiza pesa huko, utaimbwa kila siku.
 
Very logical thinking.
 
Ongezea hapo: Na wewe gentamycice japo unadai ni simba lakini moyoni unajua kabisa na wenye macho wanakujua kabisa kuwa wewe ni yanga lia lia!! Ila camouflage yako siyo ya kitoto, ni hapo tu!
 
Ila kwa sasa ni kama gentamycine una mpango wa kuivua camouflage yako ambayo watu wamekusifu nayo kwa muda mrefu, maana si kwa povu hilo, na unaanza kuuonesha "umwananchi" wako kwa dizain flan!! Ninachokuonea huruma ni kwamba hata hao "wananchi" ni wachache sana watakaokuamini kuwa wewe ni mwananchi mwenzao!! utasubiri sana!!
 
Mbona Manara ni Simba lia lia na yupo Yanga na Yanga wanaona fresh tu? Mbona Gharib Said Mohamed (GSM) ni Simba lia lia na Yanga wanaona fresh tu? Na wewe tunaaminije kama ni Simba lia lia na sio Simba kanjanja mwenye lengo la kuivuruga Simba JF?
 
Huyu mleta post huenda ni kitoto cha Chuo, akili hamna kabisa.
 
POPOMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…