MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Yap Kanaitwa Mina,kanatangaza na Millardhako ka katikati ni katoto ka kike?
Nani kakatishwa tamaa, wakati yy mwenyewe mambo anayoyafanya anaonekana kishakata tamaa. Mara naingiza sokoni mofaya kombe la dunia likianza, mara nadhamini matangazo ya kombe la dunia, mara sikukuu ya idd mo faya inaingia sokoni,mara bidhaa itaingia sokoni mpaka Ommy apone (sijajua uhusiano wa mo faya na Ommy vinahusiana vipi) mara kutoka ktk mziki kaenda kwenye mpira (hapa ndipo nilipomuona looser). Kwa kifupi jamaa wako hajui anataka nini na anasimamia nn, excuse kibao usifanye masihala kuanzisha bidhaa mpya, yy anazani muda una msubiria yy, katoa nyimbo karibia tatu zote maboko na show zishakata, kijana UKITAKA KUANZA MAISHA ANZA SASA, USISUBIRI KESHO, UTAJA KUMKUTA MWANA SI WAKO (Banza stone). Jamaa yako sio tunamkatisha tamaa kwani hajui tumia muda na muda huu ndio utatakao muhukumu.Unapokuwa wa moto ndio muda wa kuinvest yy, anaruka ruka na sasa hivi ndio muda wake wakuelekea omega, alpha kishaipita.huu ni zaidi ya uchawi, kukatishana tamaa
wazee wa machaparara.......wanakula kumaliza sio kushiba.Bora hawa chalii za kule wakadhamini kuliko hio mo motoView attachment 924459
Situmi madude hayo hapa ni mwendo wa bia tu mamaaaIkoje..
Ulishainywa ukaugua?
Teh kiba hataki shobo
Mtaalamu kule mbona hujarudi jamani nmepika nyama hadi nimeila mwenyeweTatizo la watu baadhi wa ishio tanzania..
Mtaalamu kule mbona hujarudi jamani nmepika nyama hadi nimeila mwenyewe
hako ka katikati ni katoto ka kike?
Mina ali mtangazaji Clouds Fmhako ka katikati ni katoto ka kike?