Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Linaanzia Mtwara mmeshakumbukwa
Kwenye ilo tamasha watukumbuke na wa mikoani,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye ilo tamasha watukumbuke na wa mikoani,
Kuwa imemdhuru au?Mofaya hiii hii wanayosema ni source ya ugonjwa wa dimpoz?
VIAGRAMofaya ndio nini wakuu?
Kibakuli anajikutaga tu hatakagi shobo dundo...
Hakijulikani bongo lakin origin yake ni south africa mzee...kwa iyo yupo sahihi haitaji kuwa na haraka na wabongoHICHI KINYWAJI HAPA BONGO HAKIJULIKANI ETI ANAENDA KUKITANGAZA KIMATAIFA?? KAONA AIBU KUSHIRIKI TAMASHA LA WASAFI
Ndo biashara hiyo mzeeKwahiyo anataka atumie mgongo wa tamasha kukitangaza kinywaji chake, huku akijionesha ni jeuri hahitaji kubebwa. Ilimradi tamasha libebe kinywaji chake
Wabongo sisi tunaongoza kwa roho mbayaYeye ni vice wa mofaya mpira hautaki mziki umebuma iyo pesa yakulipia ataitoa wapi ?? Hahahahaha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
YE NI BALOZI YA MOFAYA TANZANIA SIO AFRICA?Hakijulikani bongo lakin origin yake ni south africa mzee...kwa iyo yupo sahihi haitaji kuwa na haraka na wabongo
Kwa sehem yangu lugha ya DIAMOND siku ipenda kabisaa ila jibu la Alikiba liko sawaSomething is wrong here. Ukifuatilia ile press ya Wasafi siku ile halafu ukisoma response ya huyu jamaa unagundua kuna kitu hakipo sawa hapa. Kuna mmoja kati yao anahitaji bifu liendelee na uhitaji kuwa PHD kumtambua.
kabla ya ushawishi wa Muziki kuna brand names ambazo zilishajengwa muda mrefu. Si unaona Mavoko yalimshinda WCB akaondoka lakini wengine wapo tu. Mikataba ya WCB inawavutia zaidi wale wanaotafuta kutoka kimuziki... Kwa hawa wakongwe lazima kuwe kuna kula na kuliwa kwa pande zote mbili. Asipokuwa makini, unaweza kuwa mkataba wa kuua hata kile kidogo anachomiliki kwa sasaKwani ana mziki gani wakuwashawishi ??? [emoji23][emoji23][emoji23]