Ali kiba: Nipo tayari kudhamini tamasha la wasafi festivals

Ukiambiwa kiba ni King hii ndio maana halisi.....wameshindwa kufanya mambo yao Bila kumchokonoa King,maana response yoyote ile toka Kwa kiba kwao ni strategy.
Duh,kweli bongo masikini ni wengi
 
Something is wrong here. Ukifuatilia ile press ya Wasafi siku ile halafu ukisoma response ya huyu jamaa unagundua kuna kitu hakipo sawa hapa. Kuna mmoja kati yao anahitaji bifu liendelee na uhitaji kuwa PHD kumtambua.
Asingekuwa MO DEWJ kuleta figisu figisu pale bndarini zingekuwa zishatoka kitambo lakn kuona mfanyabiashara GIANT mkubwa kama yule kuogopa mjasiliamali kisa eti jina linafanana na kinywaji chake ni roho mbaya
 
Something is wrong here. Ukifuatilia ile press ya Wasafi siku ile halafu ukisoma response ya huyu jamaa unagundua kuna kitu hakipo sawa hapa. Kuna mmoja kati yao anahitaji bifu liendelee na uhitaji kuwa PHD kumtambua.
hapana kiba ameshtuka hataki kufanywa ngazi katika hili " though mimi na wewe hatujui hao jamaa wameshawahi kufanyiana visa vizito kiasi gani " mkuu haya ni maisha " yana mambo mengi sana ndani yake haswaa katika issue kama hizo za kibiashara watu wanafitinishana mnoo "... then sisi kama mashabiki nafasi yetu huwa inabaki kuwa kama mteka maji mtungini " hawezi kuzijua siri ya mtungi mpaka aelezwe na kata ".. so sometimes huwa tunavuka mistari kwa ku judge vitu ambavyo hatuvijui undani wake zaidi
 
Naam kama jamaa wanataka kweli kulimaliza bifu na dhani wcb ni bora wange kubali kuitangaza hiyo bidhaa wangevuna mashabiki wengi sana kuliko hata ambavyo huyo kiba jinsi angeingiza pesa katika hicho Kinywaji " ushauri wangu ni kwamba wakae nae chini wakubaliane kukitangaza lakini wampe masharti ya kushiriki kwenye hilo tamasha " wakifaulu katika hilo " sidhani kama kuna mpenda burudani na gossip ambaye atakubali kubaki nyumbani bila kwenda kuwaona kiba na diamond katika jukwaa moja
 
Yeye ni vice wa mofaya mpira hautaki mziki umebuma iyo pesa yakulipia ataitoa wapi ?? Hahahahaha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani ana mziki gani wakuwashawishi ??? [emoji23][emoji23][emoji23]
MMh.. I hope Seven yupo vizuri kwenye negotiation. Hapa ni win-win situation... Aangalie na longterm impact ya mkataba watakaoingia. Ibakie kwenye Mofire tu, wasiingie kwenye muziki wa Kiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…