Ali Kiba pole sana, bifu ya WCB na Clouds imekumeza

Ali Kiba pole sana, bifu ya WCB na Clouds imekumeza

Kwa hio P squa wamefirisika ao unaongea usio yajuwa kama kawaida yako?
wanafilisika wanamuziki wakubwa wa marekani..hata yeye akibugi chalii..kuna wasanii wakubwa duniani walihit mbaya..sasa hakuna mtu anasikiliza nyimbo zao..mfano Afrika P square...unapata stress unatapanya Mali
 
Watu wameivest mpaka kwenye biashara ya mafuta, P Square sio watu wa mchezo wataporomoka kimziki (hiyo kawaida kwa wasanii wote duniani) lakini usitegemee wale jamaa kuporomoka financial.

images-9.jpeg
 
Watu wameivest mpaka kwenye, mafuta, P Square sio watu wa mchezo wataporomoka kimziki (hiyo kawaida kwa wasanii wote duniani) lakini usitegemee wale jamaa kuporomoka financial.
P square walipotengana ndo siku Nliacha kuwa shabiki yaoo...sema jamaa tayari wana pesa afu wame invest..! Diamond nae kajitahdi lakini sio kiasi cha kuwa na jeuri kwamba hazitaishaa
 
P square walipotengana ndo siku Nliacha kuwa shabiki yaoo...sema jamaa tayari wana pesa afu wame invest..! Diamond nae kajitahdi lakini sio kiasi cha kuwa na jeuri kwamba hazitaishaa
Diamond ana investment sehemu nyingi radio, TV, label, wasafi festival hizi ni uwekezaji mkubwa sana tena ni endelevu.

Alafu hamna mtu mwenye hati miliki na mziki duniani, kwani hata uwe mkali vipi, upewe promo kila dakika utaporomoka tu kimziki, lkn kama ukiwa na vitega uchumi endelevu utakula maisha mpaka una kufa.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu promo kubwa inayopata Wasafi tv na Radio sababu diamond ana hit badoo yani akipoteaa niamini mimi VITAKUFAAAA...!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu promo kubwa inayopata Wasafi tv na Radio sababu diamond ana hit badoo yani akipoteaa niamini mimi VITAKUFAAAA...!
Kufa havita kufa bali umaarufu utapungua lkn hela atakuwa anaingiza. Zamani radio one na ITV pamoja na Radio free zilikuwa ndio radio kubwa, lkn leo Kuna Clouds, Je ITV, Radio One, Radio Free zimekufa? Je hazitengenezi faida? . Tena huyu dogo kaweza kutumia hizi digital platform vizuri ITunes, Sportfy na hapo bado ana mikataba endelevu na Safaricom, hapo bado mwaka jana Rwanda kasaini mikataba kibao ya kuuza nyimbo zake na WCB, bado hata akiporomoko bado atapiga hela kwa nyimbo zake kupigwa radioni Kenya, Rwanda na UG na tena ana mikataba inamlinda.

Ishu sio kuporomoka lkn je baada ya kuporomoka utakuwa unaingiza shillings ngapi. Wasanii wengi wanafurahia umaarufu lkn waoga kuwekeza. Kaka mziki unapokuwa wa moto ndio muda wa kupiga hela na kuwekeza, lkn ukizingua utaishia kulia lia.

Leo hii Marley na MJ wamekufa lkn bado wanakula mpunga wao kupitia ITunes, Sportfy,YouTube na hapo bado wanakula hela kwenye maredio, kwa dogo hata akiporomoko bado hela atakuwa anapiga. 2015 MCK Kenya walitoa takwimu za wasanii wanaolipwa hela ndefu nyimbo zao zikipigwa radioni, Diamond peke yake kapiga TSh milion 600.
 
Unasema first class musician wanatoka WCB..unajua maana ya musician kweli??..
 
Watunwa dar mnatakiwa kufahamu mikoani watunwengi hawaskilizi majungunya redio zenu Ali kiba anafanyia tamasha kahama 70% ya watu wake hawana time na majungunya radio na ni watu wa starehe so watajaa tu
kweli hapa kahama noma yaani kila mtu anasubiri jumamosi ifike kuna watu wengi hawaamini kama alikiba anapiga show tena kwa buku kumi
 
Kuna time ilifika hakuna msanii anayeangaliwa zaidi ya diamond na alikiba...
Nakumbuka Barnaba aliwahi kusikika akisema imefikia wakati hawapewi nafasi ya kusikilizwa.

Pia nilimsikia nay wa mitego akimuliza mwandizi kwann nyie waandishi lazima muulize maswala ya alikiba na diamond?
Sasa kibao kimegeuka no diamond na alikiba ni wcb wasafi na clouds FM

Alikiba hakuna anayemfuatilia km zamani naamini ye mwenyewe anajua ili.,na linatokea wakati mbaya sana anaplan za kuisimamisha lebbel yake.

Clouds naamini walihusika kwa kiasi kikubwa kucreat rivals ya Ali na diamond at the end kiba kasanda ,wamebakia wao wanapambana na wcb
Tuone mwisho utakuwaje
Naamini mpambano huu lazima1 ashinde na Nina tabiri WCB watawin the game cz wana 1st class musician in Tanzania kwa sasa.,wanafuatiliwa mno.

Umewahi kujiuliza kama WCB wasingekuwa na diamond,hamo,ray wangeendesha VP tamasha cz wasanii cream wote ukitoa WCB wako fiesta.

Yote kwa yote Ali Kiba pole sana....

Wajinga waliowao, siku zote. Tanzania hakuna mastar ni wasanii tu ndiyo waliotapakaa mpaka inatia kinyaa.
 
Back
Top Bottom