wanafilisika wanamuziki wakubwa wa marekani..hata yeye akibugi chalii..kuna wasanii wakubwa duniani walihit mbaya..sasa hakuna mtu anasikiliza nyimbo zao..mfano Afrika P square...unapata stress unatapanya Mali
Kama haupendi umbea nyoosha kidole. Au jifanye unajikuna kichwaJamni tufanyeni kazi huu umbea umbea haufai hasa kwa midume... tujing'amue na tufanye kazi ili tuendelee... umbea hauna ishu
Watu wameivest mpaka kwenye biashara ya mafuta, P Square sio watu wa mchezo wataporomoka kimziki (hiyo kawaida kwa wasanii wote duniani) lakini usitegemee wale jamaa kuporomoka financial.wanafilisika wanamuziki wakubwa wa marekani..hata yeye akibugi chalii..kuna wasanii wakubwa duniani walihit mbaya..sasa hakuna mtu anasikiliza nyimbo zao..mfano Afrika P square...unapata stress unatapanya Mali
P square walipotengana ndo siku Nliacha kuwa shabiki yaoo...sema jamaa tayari wana pesa afu wame invest..! Diamond nae kajitahdi lakini sio kiasi cha kuwa na jeuri kwamba hazitaishaaWatu wameivest mpaka kwenye, mafuta, P Square sio watu wa mchezo wataporomoka kimziki (hiyo kawaida kwa wasanii wote duniani) lakini usitegemee wale jamaa kuporomoka financial.
Diamond ana investment sehemu nyingi radio, TV, label, wasafi festival hizi ni uwekezaji mkubwa sana tena ni endelevu.P square walipotengana ndo siku Nliacha kuwa shabiki yaoo...sema jamaa tayari wana pesa afu wame invest..! Diamond nae kajitahdi lakini sio kiasi cha kuwa na jeuri kwamba hazitaishaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu promo kubwa inayopata Wasafi tv na Radio sababu diamond ana hit badoo yani akipoteaa niamini mimi VITAKUFAAAA...!Diamond ana investment sehemu nyingi radio, TV, label, wasafi festival hizi ni uwekezaji mkubwa sana tena ni endelevu.
Alafu hamna mtu mwenye hati miliki na mziki duniani, kwani hata uwe mkali vipi, upewe promo kila dakika utaporomoka tu kimziki, lkn kama ukiwa na vitega uchumi endelevu utakula maisha mpaka una kufa.
Kufa havita kufa bali umaarufu utapungua lkn hela atakuwa anaingiza. Zamani radio one na ITV pamoja na Radio free zilikuwa ndio radio kubwa, lkn leo Kuna Clouds, Je ITV, Radio One, Radio Free zimekufa? Je hazitengenezi faida? . Tena huyu dogo kaweza kutumia hizi digital platform vizuri ITunes, Sportfy na hapo bado ana mikataba endelevu na Safaricom, hapo bado mwaka jana Rwanda kasaini mikataba kibao ya kuuza nyimbo zake na WCB, bado hata akiporomoko bado atapiga hela kwa nyimbo zake kupigwa radioni Kenya, Rwanda na UG na tena ana mikataba inamlinda.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu promo kubwa inayopata Wasafi tv na Radio sababu diamond ana hit badoo yani akipoteaa niamini mimi VITAKUFAAAA...!
kweli hapa kahama noma yaani kila mtu anasubiri jumamosi ifike kuna watu wengi hawaamini kama alikiba anapiga show tena kwa buku kumiWatunwa dar mnatakiwa kufahamu mikoani watunwengi hawaskilizi majungunya redio zenu Ali kiba anafanyia tamasha kahama 70% ya watu wake hawana time na majungunya radio na ni watu wa starehe so watajaa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]kweli kabisaAli Kiba ana tamasha lake na yeye sema tu hapendi show off.
Kuna time ilifika hakuna msanii anayeangaliwa zaidi ya diamond na alikiba...
Nakumbuka Barnaba aliwahi kusikika akisema imefikia wakati hawapewi nafasi ya kusikilizwa.
Pia nilimsikia nay wa mitego akimuliza mwandizi kwann nyie waandishi lazima muulize maswala ya alikiba na diamond?
Sasa kibao kimegeuka no diamond na alikiba ni wcb wasafi na clouds FM
Alikiba hakuna anayemfuatilia km zamani naamini ye mwenyewe anajua ili.,na linatokea wakati mbaya sana anaplan za kuisimamisha lebbel yake.
Clouds naamini walihusika kwa kiasi kikubwa kucreat rivals ya Ali na diamond at the end kiba kasanda ,wamebakia wao wanapambana na wcb
Tuone mwisho utakuwaje
Naamini mpambano huu lazima1 ashinde na Nina tabiri WCB watawin the game cz wana 1st class musician in Tanzania kwa sasa.,wanafuatiliwa mno.
Umewahi kujiuliza kama WCB wasingekuwa na diamond,hamo,ray wangeendesha VP tamasha cz wasanii cream wote ukitoa WCB wako fiesta.
Yote kwa yote Ali Kiba pole sana....