Ali Kiba si Mtu Mzuri - Hakeem 5

Tatizo la wa africa walio wengi. Mtu akikwambia subiri au nipe muda unaona kakubania. Tunatakiwa kuelewa na kuheshimu maamuz ya wenzetu. Kila mtu hupanga ratiba zake huenda muda uliomwambia mfanyejambo fulani yeye alikuwa na ratiba nyingine..
 
mwaka wa tisa asubir tu
 
Kma Unafaham Mungu Ndie Mtoaj Wa Ridhiki, Unalalamika Nini? Nyamaza Subili Ridhik Yako Itolewe Na Mungu Na Siku Zote Mungu Hana Upendeleo...Alichoongea Hakeem 5 Ni Aibu Kwake...Alienda Studio Kwa Ajili Ya Kulia Lia Au Kupromot Sanaa Yake?[emoji124] [emoji124]
 
Hakeem 5 anaenda studio kumsubiri kiba mwaka wa ngapi?... Afanye kolabo na chid
 
Huyu kumbd nae ni bwe.ge eeh? tujifunze kuchagua marafiki,kuna watu wanapenda lawama za kiboya.....
 
Dah kiba ana roho mbaya sana alafu mtu wa kujisikia na dharau.
 
Kiba gani huyu huyu anayeamini hafanyi vizuri kwa sababu ya DIAMOND au mwingine ???
 
" Mungu ndie mtoaji tena kwa foleni hata kama nipo nyuma nitapata lazima" Dushelele.
 
uko nje ya mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…