Ali Kiba si Mtu Mzuri - Hakeem 5

Ali Kiba si Mtu Mzuri - Hakeem 5

Huyu naye ataolewa na Kingkiba asipokuwa makini, mtoto wa kiume kumlilia mwanaume mwenzako inataka moyo sana.
 
Hakeem 5 kaachwa na lile jimama linalomlea nini?? Amegundua kuna kutafuta pesa, ndo maana analilia collabo kwa nguvu.
On top of that walishafanyaga collabo nyingine na ali kiba apart from nakshi nakshi..sijui ule wimbo uliishia wapi.
 
Ila hakeem aliutendea haki ule wimbo.

Hivi huyu hakeem ndo mdogo wake sijui ndugu yake dully sykes?

Nishasahau habari zao.
 
Kama unayafahamu maisha utagundua tuu kwa kumuangalia, jamaa anaonekana kabisa kuwa hafurahii mafanikio ya mtu kwani kuna kauswahili ukimuangalia kwa makini katika sura yake. Diamond alipitia dhiki sawa ila somehow anaonekana kuwa na roho ya Kishua ndio maana mambo yake hayakwami. Madogo kabla ya kuomba msaada au kumfungukia mtu jaribu kumuangalia usoni huyo mtu maana sura huwa inazungumza kila kitu.
 
[emoji2][emoji2]kwani lazima aimbe na kiba
 
Kama unayafahamu maisha utagundua tuu kwa kumuangalia, jamaa anaonekana kabisa kuwa hafurahii mafanikio ya mtu kwani kuna kauswahili ukimuangalia kwa makini katika sura yake. Diamond alipitia dhiki sawa ila somehow anaonekana kuwa na roho ya Kishua ndio maana mambo yake hayakwami. Madogo kabla ya kuomba msaada au kumfungukia mtu jaribu kumuangalia usoni huyo mtu maana sura huwa inazungumza kila kitu.
Mwaka wa 4 huu toka hii nyuzi iandikwe mkuu.
 
Mwaka wa 4 huu toka hii nyuzi iandikwe mkuu.
Hata kama ungekuwa wa 10, Comments hazina umri ndio maana nyuzi hazikuondolewa, hata kula tunda kimasikhala ni nyuzi ya muda ila hadi leo inachangiwa
 
Mnaikumbuka?
Dah,Natamani maisha yarudi nyuma japo nilikuwa msomaji tu, JF mliichamsha sana enzi hizo.
Nilikuwa nasoma Chitchat zenu mwanzo mwisho. Sasa hivi naona unaenda sawa na wadogo zako.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Dah,Natamani maisha yarudi nyuma japo nilikuwa msomaji tu, JF mliichamsha sana enzi hizo.
Nilikuwa nasoma Chitchat zenu mwanzo mwisho. Sasa hivi naona unaenda sawa na wadogo zako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna wakati mimi mwenyewe nikiandika najikuta najicheka hatariiii najicheka mno.

All in all ni kupunguza tu makali ya vyuma mtaani.
 
Back
Top Bottom