AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Huyu naye ataolewa na Kingkiba asipokuwa makini, mtoto wa kiume kumlilia mwanaume mwenzako inataka moyo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh...hiyo Avatar ya ki-legendary.Ila hakeem aliutendea haki ule wimbo.
Hivi huyu hakeem ndo mdogo wake sijui ndugu yake dully sykes?
Nishasahau habari zao.
Mnaikumbuka?Duh...hiyo Avatar ya ki-legendary.
Jama anaroho ya kutu kubali tu ila hi dunia yatapita tuKafufuka na kutafuta kiki
Ndo hapo sasa [emoji38][emoji38][emoji2][emoji2]kwani lazima aimbe na kiba
Mwaka wa 4 huu toka hii nyuzi iandikwe mkuu.Kama unayafahamu maisha utagundua tuu kwa kumuangalia, jamaa anaonekana kabisa kuwa hafurahii mafanikio ya mtu kwani kuna kauswahili ukimuangalia kwa makini katika sura yake. Diamond alipitia dhiki sawa ila somehow anaonekana kuwa na roho ya Kishua ndio maana mambo yake hayakwami. Madogo kabla ya kuomba msaada au kumfungukia mtu jaribu kumuangalia usoni huyo mtu maana sura huwa inazungumza kila kitu.
Hata kama ungekuwa wa 10, Comments hazina umri ndio maana nyuzi hazikuondolewa, hata kula tunda kimasikhala ni nyuzi ya muda ila hadi leo inachangiwaMwaka wa 4 huu toka hii nyuzi iandikwe mkuu.
Dah,Natamani maisha yarudi nyuma japo nilikuwa msomaji tu, JF mliichamsha sana enzi hizo.Mnaikumbuka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna wakati mimi mwenyewe nikiandika najikuta najicheka hatariiii najicheka mno.Dah,Natamani maisha yarudi nyuma japo nilikuwa msomaji tu, JF mliichamsha sana enzi hizo.
Nilikuwa nasoma Chitchat zenu mwanzo mwisho. Sasa hivi naona unaenda sawa na wadogo zako.