Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
hahahaHuyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwje...Halafu halijui hatakujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
kwani umelazimishwa kumpenda baki na Daima wakoHuyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwje...Halafu halijui hatakujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Ooouuhhh mbona kama una base Team tiffah..! Tukiacha ubaguzi mziki wa bongo utaenda mbali.! Ushauri tuuHuyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwje...Halafu halijui hatakujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Povu vepee...Nisipobaki na Dai ntaenda wapi sasa?Yaani nihame kwenye Maybach niende kwenye toyota carina?kweli mkuu?kwani umelazimishwa kumpenda baki na Daima wako
kwani anaimba kiingereza?Sizitaki mbichi hizi. Huwezi kuignore lugha ya biashara. Sasa anawasiliana na Nani katika Muzic wake?
Sijabase mkuu,sema huyu kaka ana tabia flani hivi ya kujisikia..he's not humble kama wakina Darasa,fa,ay,na wengineoOoouuhhh mbona kama una base Team tiffah..! Tukiacha ubaguzi mziki wa bongo utaenda mbali.! Ushauri tuu
baki huko huko kwanza umefuata nini kama team Daima? anajua anachokifanya sio kufanya kukufurahisha wewe hutaki achaPovu vepee...Nisipobaki na Dai ntaenda wapi sasa?Yaani nihame kwenye Maybach niende kwenye toyota carina?kweli mkuu?
Naona umetoa ya moyoni,Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwje...Halafu halijui hatakujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
As long as anaonesha kwenye public siwezi muacha hivi hivi bila kucoment..he has to change,asipobadilika trust me,hatafika mbalibaki huko huko kwanza umefuata nini kama team Daima? anajua anachokifanya sio kufanya kukufurahisha wewe hutaki acha
Lugha ya kiingereza ni muhimu sana na hapa wabongo Ndio tumenasa kwenye Mtego.Sizitaki mbichi hizi. Huwezi kuignore lugha ya biashara. Sasa anawasiliana na Nani katika Muzic wake?
Wivu tu, sina team ila hayo maneno yako yaonekana ni chuki tu. Nakusamehe piaHuyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwje...Halafu halijui hatakujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
kwani huyo Daima hajisikii? tabia za mtu zisiingie kama ndio life yake na ukisema unamchukia mtu sio neno zuriSijabase mkuu,sema huyu kaka ana tabia flani hivi ya kujisikia..he's not humble kama wakina Darasa,fa,ay,na wengineo