Ali Kiba: Sihangaiki kujifunza kiingereza, hakina ishu

Ali Kiba: Sihangaiki kujifunza kiingereza, hakina ishu

Yan tunavyo toleana Povu hapa utafkir dai anajua English au kiba[emoji27][emoji27]
Mbona wote wawili hawajui iyo lugha!!!!
 
Kwani huyo mnaemzungumzia ni msanii wa nchi gani?
Anaimba hip hop Au reggae?

Samahani jamani kuuliza si unjinga
 
Kutokujua Lugha sio mbaya ila kujifunza ili kuijua ni vizuri zaidi.
 
mbona anajitahidi kuongea kiingereza hayuko vibaya kiasi hicho kikubwa kinachotukwamisha wabongo kuongea kiingereza kwa ufasaha nikujaribu kutranslate kiswahili kuja kiingereza hayuko vibaya ally katika lugha ya malikia
Hiki kitu nadhani kinatusumbua wengi kuongea kngereza bla kutafsiri kiswahili.
 
Siku za nyuma alisema yeye ni mkubwa kuliko tuzo, sahivi anaona fahari kuzungumzia tuzo
 
As long as anaonesha kwenye public siwezi muacha hivi hivi bila kucoment..he has to change,asipobadilika trust me,hatafika mbali
Eti hatafika mbali..mbali wapi huko? Maana muda mrefu sana mmeanza kuongea hizo kabobo mwenelzenu anazidi kuchanja mbuga!!
 
Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Unataka kulinganisha mafanikio ya Ali na Dai? Ali yuko juu na hanaga mauzo
 
Mtu ambae hujawah kukutana nae, unaanzaje kusema anajckia na anaringa! mafanikio ya alikiba yapo kwenye mzk wake. Na Kibakuli anajua kweli co utani, ndo maana hata Kigoma All Stars wimbo wa pili alisimama kwenye chorus na verse pia, Diamond ckuona cha maana alichoimba zaid ya kumuimba mama yake. Waulize Maproducer Watakuambia, Sema Diamond na AY wanachofanya ni kujipendekeza kwa wanamzk wa nje, na wanachokiimba hakieleweki. Tuna Kila Sababu Ya Kuheshim Maisha Ya M2 Km Hayana Athar Kwako
 
Kiba ana public speaking moja mbaya sana, ni full majigambo. Nasikiliza muziki wake sometimes, ni kweli jamaa yuko vizuri, ila huu u-arrogant auweke pembeni, anahisi ni confidence, ila sio, kuna confidence na arrogance, this is the latter.
You can't say it better than this boss
 
Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Hujui unachokisema
 
Mtu ambae hujawah kukutana nae, unaanzaje kusema anajckia na anaringa! mafanikio ya alikiba yapo kwenye mzk wake. Na Kibakuli anajua kweli co utani, ndo maana hata Kigoma All Stars wimbo wa pili alisimama kwenye chorus na verse pia, Diamond ckuona cha maana alichoimba zaid ya kumuimba mama yake. Waulize Maproducer Watakuambia, Sema Diamond na AY wanachofanya ni kujipendekeza kwa wanamzk wa nje, na wanachokiimba hakieleweki. Tuna Kila Sababu Ya Kuheshim Maisha Ya M2 Km Hayana Athar Kwako
Vipi ww kuhusu kujipendekeza kwao kwa wana mziki wa nje kwako kuna ku athiri nn ukisha nijibu apo ymtuendelee na mada [emoji116] [emoji116]
Hivi wimbo wa kwanza na wa pili wa kigoma all star uko wapi uliohiti maana wa kwanza kiba hakuwemo lkn ulihiti kinoma lkn wa pili walipoutoa pamoja na kiba kuwemo mbona ulibuma.....mziki its more than sauti na nakushauri kausikilize tena wimbo uwo ambao kiba yumo zen compare mistari yao uwone nani aliandika verse za kuumiza kichwa
 
kwani huyo Daima hajisikii? tabia za mtu zisiingie kama ndio life yake na ukisema unamchukia mtu sio neno zuri
im not team kiba or Diamond but nakubali kiingereza kisikufanye ushindwe kufanya mambo yako ni njia ya mawasiliano tu kazi zako zitabaki kuheshimiwa as ni kwa lugha yako
Daima ndo nani asee. Mkuu mbona una wivu hvyo. Yaani licha ya yote mnayoyaona bado mnazidi kumlinganisha Diamond na Kina
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom