WazunguSizitaki mbichi hizi. Huwezi kuignore lugha ya biashara. Sasa anawasiliana na Nani katika Muzic wake?
Hiki kitu nadhani kinatusumbua wengi kuongea kngereza bla kutafsiri kiswahili.mbona anajitahidi kuongea kiingereza hayuko vibaya kiasi hicho kikubwa kinachotukwamisha wabongo kuongea kiingereza kwa ufasaha nikujaribu kutranslate kiswahili kuja kiingereza hayuko vibaya ally katika lugha ya malikia
Eti hatafika mbali..mbali wapi huko? Maana muda mrefu sana mmeanza kuongea hizo kabobo mwenelzenu anazidi kuchanja mbuga!!As long as anaonesha kwenye public siwezi muacha hivi hivi bila kucoment..he has to change,asipobadilika trust me,hatafika mbali
Unataka kulinganisha mafanikio ya Ali na Dai? Ali yuko juu na hanaga mauzoHuyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Unataka kulinganisha mafanikio ya Ali na Dai? Ali yuko juu na hanaga mauzo
[emoji16][emoji16][emoji16]kuna majitu yanakera[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Komenti yako imenifurahisha sana ikabidi nicheke tu
Na kweli yanakera maana ni swa na kusema mbwana samatta ana mafanikio kuliko griezman[emoji16][emoji16][emoji16]kuna majitu yanakera
You can't say it better than this bossKiba ana public speaking moja mbaya sana, ni full majigambo. Nasikiliza muziki wake sometimes, ni kweli jamaa yuko vizuri, ila huu u-arrogant auweke pembeni, anahisi ni confidence, ila sio, kuna confidence na arrogance, this is the latter.
Naanzaje kumtaka kiba while I have the best husband in the world?Sema unamtaka ila hujui pa kuanzia anyway all tha best
Hujui unachokisemaHuyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Vipi ww kuhusu kujipendekeza kwao kwa wana mziki wa nje kwako kuna ku athiri nn ukisha nijibu apo ymtuendelee na mada [emoji116] [emoji116]Mtu ambae hujawah kukutana nae, unaanzaje kusema anajckia na anaringa! mafanikio ya alikiba yapo kwenye mzk wake. Na Kibakuli anajua kweli co utani, ndo maana hata Kigoma All Stars wimbo wa pili alisimama kwenye chorus na verse pia, Diamond ckuona cha maana alichoimba zaid ya kumuimba mama yake. Waulize Maproducer Watakuambia, Sema Diamond na AY wanachofanya ni kujipendekeza kwa wanamzk wa nje, na wanachokiimba hakieleweki. Tuna Kila Sababu Ya Kuheshim Maisha Ya M2 Km Hayana Athar Kwako
Daima ndo nani asee. Mkuu mbona una wivu hvyo. Yaani licha ya yote mnayoyaona bado mnazidi kumlinganisha Diamond na Kinakwani huyo Daima hajisikii? tabia za mtu zisiingie kama ndio life yake na ukisema unamchukia mtu sio neno zuri
im not team kiba or Diamond but nakubali kiingereza kisikufanye ushindwe kufanya mambo yako ni njia ya mawasiliano tu kazi zako zitabaki kuheshimiwa as ni kwa lugha yako