Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila lisemwalo lipo kama lilivyo semwa.... Maneno mengine yapime au angalia hali halisi...Huyu Ndo Team Yake Inampaisha inamwita King kumba Mfalme amepanga Hana Hata Nyumba na Miaka yote Hiyo kwenye Mziki...
Poor Kiba
Sio vizuri kumwita Mtanzania mwenzio hivyoTeam Kibakuli...
Ndo nani?!Kibakuli katika ubora wake
Kibakul ndo nani??Amekutoaa kwenye mood yk kumwita jamaa kibakuli heee
Wewe.una nyumba uliyojengaSiku zote hizii!C angenda hata mbeya akajenge ya tofari mbichi then achapie cement apake rangi apige picha atupie humu jamani
Dah jokate wewe ? Umeniacha.mimi umeenda kwa huyo
Imekuuma mkuuhivi inakuaje mwanaume unabinua lips km ******* m.boo, hili litakua gasho tu.
Kumbe uliambiwa yeye hajathibitisha sasaSi tuliambiwa ghorofa tabata
Kuna watu uwezo wao wa kufikiri mdogo sana...kwa akili ya kawaida Kiba anaweza akakosa nyumba kweli?Sio kila lisemwalo lipo kama lilivyo semwa.... Maneno mengine yapime au angalia hali halisi...
Kwahiyo hilo linakusumbua sana?Kipindi flani walimuonyesha anatoa msaada wa M 21,eti akimzidi Diamond kw M 1 ambaye alitoa M 20,kumbe Jamaa hata kibanda hana.