Ali Kiba: Sina nyumba bado, na hata nikiwa nayo sitajitangaza

Jf home of great haters, Kama naiona team Mond Povu likiwatoka
 
Haha Safi kiba sijutii kuwa shabiki wako
 
Sema wanamuziki weusi sababu Ni malimbukeni wa hivi vitu. We ushasikia hata siku moja Eminem anajisifia huo upumbavu wa magari, majumba sijui macheni mabling bling?? Ni weusi tu
Money is new to black people
Ndio maana kila tunachonunua Ni kujionyesha.
 
Kuna watu uwezo wao wa kufikiri mdogo sana...kwa akili ya kawaida Kiba anaweza akakosa nyumba kweli?
Nawashangaa hawa hata hawawezi soma btwn the lines. Huyu jamaa kiba anawatoa tu kwenye hiyo habri ya nyumba yake. I know lazima Ana nyumba so ili kumaliza huo mjadala ndio maana kaamua kusema hvy. Kwani yeye hajui nn kingetokea kusema kuwa anapanga mpk sasa
 
Tatizo Wabongo huwa hawataki kuambiwa ukweli, halafu wanajifanya wajuajii,Mhusika Mwenyewe ndio kasema hivyo halafu wewe hutaki,ila kama ni mumeo au ndugu yako yawezekana ikawa kweli maana utakua unamjua in and out.
 
Ali kiba ana nyumba. Kuhusu kusema hana nyumba ni dongo kalitupa tuu.
Haihitaji akili ya darasani kumwelewa kiba.
[HASHTAG]#kingkiba[/HASHTAG]
 
Ali kiba ana nyumba. Kuhusu kusema hana nyumba ni dongo kalitupa tuu.
Haihitaji akili ya darasani kumwelewa kiba.
[HASHTAG]#kingkiba[/HASHTAG]
Hana nyumba kapanga au hujamsikia akitoa povu xxl
 
Ali kiba ana nyumba. Kuhusu kusema hana nyumba ni dongo kalitupa tuu.
Haihitaji akili ya darasani kumwelewa kiba.
[HASHTAG]#kingkiba[/HASHTAG]
Hana nyumba ss majiran zake tunajua nyumba kama pembe la ngombe halijifichi utasema una watu watasema unayo
 
Ha ha haaaaaaaaa

F. Gonga alimfurumusha kumtoa katika nyumba yake, ila hata kama ni uamuzi wake. Hasingeongelea angekaa kimya tu, sielewi y kaongelea hata kujibu, angenyamaza.

Mashindano ya nyumba sasa, interesting.
usipende kujibu post za JF kwa mihemko wakati mwingine unaonekana hamnazo,ulichokiandika hata wewe umekielewa??tukikuelewesha unajifanya unajua sana
 
usipende kujibu post za JF kwa mihemko wakati mwingine unaonekana hamnazo,ulichokiandika hata wewe umekielewa??tukikuelewesha unajifanya unajua sana

Hahahaaaa bado unanitafuta Mr Kimombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…