Ali Kiba: Sina nyumba bado, na hata nikiwa nayo sitajitangaza

Sasa mdogowangu kiba WHY UJIFANANISHE na MOND kumbe we bado majalala chakali chakali???
Hata kujitutumua lau kwa kijumba cha tembe huwezi???
Aaaah unauzalilisha mziki wetu man. Just keep yourself aside... yaani kavepe pita hivi... mdogomdogo!!
 
Naona siku hizi pombe hatumii.....kipindi cha nyuma alikuwa anapata,na anatuonyeshea.
ENZI HIZO DOGO ANAOMBA KUPIGA PICHA NA MASTAR!
AHAHAHAHAHAHAHAHHAHAHHA sa hiz wanaatamani awapigie hata simu tu,japo awabeep tu halafu aseme wrong number!
angalau watajua kuwa namba zao zipo kweny phonebook yake!

GOOOOOO DIAMOND GOOOOOOOO!
 
Sasa mdogowangu kiba WHY UJIFANANISHE na MOND kumbe we bado majalala chakali chakali???
Hata kujitutumua lau kwa kijumba cha tembe huwezi???
Aaaah unauzalilisha mziki wetu man. Just keep yourself aside... yaani kavepe pita hivi... mdogomdogo!!
 
ENZI HIZO DOGO ANAOMBA KUPIGA PICHA NA MASTAR!
AHAHAHAHAHAHAHAHHAHAHHA sa hiz wanaatamani awapigie hata simu tu,japo awabeep tu halafu aseme wrong number!
angalau watajua kuwa namba zao zipo kweny phonebook yake!

GOOOOOO DIAMOND GOOOOOOOO!
Mbona ameshika Bavaria Mkuu? Au mihemuko ya kuchangia Thread inakutoka?
 
Nyumba ya kudumu ni kaburi. Kambarage kaacha mjengo, Ghadafi kaacha mijumba, saddam kaacha mijumba, Fj Kennedy kaacha mijumba. Mandela kaacha kibao South. Mobutu kaacha. Nini nyumba bhana. Hata kobe ana jumba.
 
Mbona ameshika Bavaria Mkuu? Au mihemuko ya kuchangia Thread inakutoka?
tulia ujue unanukuu nini!
na nani?
soma nilichpoandika na soma tena ulichoniquote
halafu jiulize nani ana mhemko wa kuchangia thread!
 
Pamoja na hayo yeye kapiga Pesa ngapi?then hata kama ni nayo Au sina kama kweli uko rational huwez niuliza swali kama Hilo coz mi c kama alikiba
Wewe na kiba mna tofauti gani? Kwani huna sauti ukaimbe upate fedha? Huwezi kuandika mashairi?
Hizo nyumba za mond utapewa urithi?
 
Wewe na kiba mna tofauti gani? Kwani huna sauti ukaimbe upate fedha? Huwezi kuandika mashairi?
Hizo nyumba za mond utapewa urithi?

Mond ndio nani Au nini!?
Unajuaje kama siimbi?
Ukijua tofauti yangu na kiba itakupa msaada gani?
Ukiweza kujua misingi ya jamii forum huwez kuuliza maswali ya Facebook
Wk end njema
 
Nyumba ya kudumu ni kaburi. Kambarage kaacha mjengo, Ghadafi kaacha mijumba, saddam kaacha mijumba, Fj Kennedy kaacha mijumba. Mandela kaacha kibao South. Mobutu kaacha. Nini nyumba bhana. Hata kobe ana jumba.
Basi tuache kufanya kila kitu tusubiri kifo tu teh teh.

Kitu nakipenda kuhusu Diamond ni kuwa kila kitu kwake ni biashara, kupost hizo hizo nyumba na maisha yake kwa ujumla ni biashara, show off zinamlipa sana huyu kijana, nyie ongeeni wee ila Kijana anatengeneza pesa.
the good thing ni kuwa anacho chakuonesha pia. Oh kila kitu kwenye maisha ya msanii ni pesa (if you know warra I mean)
 
Diamond akionesha mafanikio yake,ni mswahili cjui mara show off! lakini wa mastar wa mbele wao kawaida tu,tena na DVD/video Clips za maisha yao ya show off mmejaza magetoni mwenu....Wabongo bwaana mnachuki sn na ndo maana diamond anawanyoosha makusudi.
 
Tanzania celebrity! No comment.
 
Lakini Alishushwa ana mbwembwe sana mond sio mtu wa spoti spoti anakwambia hakuna baba mwenye gari duniani kuna baba mwenye nyumba tu kibakuli cha bati huyu dogo sio level zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…