Ali Kiba: Sipendi kiki na sitofanya kamwe

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Alikiba: Sipendi kiki na sitofanya kamwe

Hitmaker wa ‘Aje’ Alikiba amesema Kiki ni kitu ambacho hakipo kwenye menu yake.

Alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Clouds 30 kupitia Clouds TV.

Kwanza kwangu mimi hicho kitu hakipo, sijui kusema mimi nina hela. Na kuna watu wengine wanaongopa kwa kusema uongo tu kwasababu watanzania tumeshakubali kupelekwa na hiyo,” alisema.

“Lakini kuna baadhi pia ya watanzania wapo makini sana, huwa hawakubali kitu kirahisi na kuna wengine ni wepesi sana kuamini. Na hizi kiki zinakuja kwasababu watu wanaamini. Mimi binafsi sitaki kabisa hivyo vitu na sitokuja kufanya na kama kuna watu wanafanya hivyo vitu mimo nimewaambia unajua kila mtu ana identity yake kwamba hawa ni watu wa aina hii na hawa ni hii.”

Ukiongea kitu mtu mwenye akili zake timamu anajua kabisa hii si kweli na Alikiba hawezi kufanya hivyo. Ila huyu anaweza kufanya hivyo na huyu hawezi kufanya hivyo ila Alikiba anaweza fanya hivyo,” alisisitiza
 
Kwani kiki manaake nini?
Kusema kizuri kikikosekana kibaya uonekana bora Alikuwa ana maana gani?
Kusema mfalme amerudi kufuta vumbi kiti chake ilikuwa ni nini? ( si angetoa tu nyimbo ivume bila maneno maneno)
Kusema alizimiwa maiki Mombasa na kuuliza MENEJA wa Diamond alikuwa anafanya nini back stage hiyo ni nini?.
Kupiga tupicha na jokate na kutupia insta hiyo ni nini?
AU LABDA MI SIJUI MAANA YA KIKI.
Ila haka ka jamaa ni kanafki
LAKINI HATA HIYO NI KIKI,KUSEMA HAPENDI KIKI.
 
Wakati anahojiwa huyu mtu
Wale watangazaji walikuwa wakiuliza maswali na kuongea maneno yaki Toto kabisa
Bila kuficha yalimlenga diamond moja kwa moja,
Muda Fulani hizi media zetu zina tuangusha kukuza music wetu.
Mtu kuonyesha mafanikio yake sio shida
Mie naona ni ujinga kuchukia maisha ya mwenzie kuwa vizuri.

Hawa clouds kuna mudafulani wapuuzi na wao
 
Diamond Kama ndio angekuwa ni alli kiba xlouds wangekuwa washamfutilia mbali.

Ninachokiona clouds wanawahofia sana wasafi.kwa mfano wasafi wakianza wao kama wao kuandaa ma show yao kwenye viwanja vikubwa itakuwa pigo sana kwa hao jamaa.
 
Kwani kiki manaake nini?
Kusema kizuri kikikosekana kibaya uonekana bora Alikuwa ana maana gani?
Kusema mfalme amerudi kufuta vumbi kiti chake ilikuwa ni nini? ( si angetoa tu nyimbo ivume bila maneno maneno)
Kusema alizimiwa maiki Mombasa na kuuliza MENEJA wa Diamond alikuwa anafanya nini back stage hiyo ni nini?.
Kupiga tupicha na jokate na kutupia insta hiyo ni nini?
AU LABDA MI SIJUI MAANA YA KIKI.
Ila haka ka jamaa ni kanafki
LAKINI HATA HIYO NI KIKI,KUSEMA HAPENDI KIKI.
Umetsha mkuu
 
Ali kiba bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti hapendi kiki ? si maajabu ya musa haya
Nahisi kashatafuta kiki tayari kwa hiyo kauli yake. Kutafuta kiki sio kiki, bali kurudia kiki.
 
Alikiba: Sipendi kiki na sitofanya kamwe

Hitmaker wa ‘Aje’ Alikiba amesema Kiki ni kitu ambacho hakipo kwenye menu yake.

Alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Clouds 30 kupitia Clouds TV.

Kwanza kwangu mimi hicho kitu hakipo, sijui kusema mimi nina hela. Na kuna watu wengine wanaongopa kwa kusema uongo tu kwasababu watanzania tumeshakubali kupelekwa na hiyo,” alisema.

“Lakini kuna baadhi pia ya watanzania wapo makini sana, huwa hawakubali kitu kirahisi na kuna wengine ni wepesi sana kuamini. Na hizi kiki zinakuja kwasababu watu wanaamini. Mimi binafsi sitaki kabisa hivyo vitu na sitokuja kufanya na kama kuna watu wanafanya hivyo vitu mimo nimewaambia unajua kila mtu ana identity yake kwamba hawa ni watu wa aina hii na hawa ni hii.”

Ukiongea kitu mtu mwenye akili zake timamu anajua kabisa hii si kweli na Alikiba hawezi kufanya hivyo. Ila huyu anaweza kufanya hivyo na huyu hawezi kufanya hivyo ila Alikiba anaweza fanya hivyo,” alisisitiza
Hawezi kutafuta kiki sababu yeye ni mwendesha baiskeli na baiskeli siku zote haina kiki hata uitafute vipi
 
Clouds FM ni jipu, wanaume gani kuuliza maswali ya kishangingi tu kila siku ndio hawa wanatuponza wanaume wa Dar. Niliona video clip yule mbwiga kajifunika uso kawafuata Yamoto Band nyumbani kwao halafu kasimama uchochoroni anauliza habari za nyumba wanayoishi nani kasaini mkataba na kodi ni bei gani? Wale wajomba wakamshangaa wakasema we ndio maana unaitwa SHILAWADU!
 
Kwani kiki manaake nini?
Kusema kizuri kikikosekana kibaya uonekana bora Alikuwa ana maana gani?
Kusema mfalme amerudi kufuta vumbi kiti chake ilikuwa ni nini? ( si angetoa tu nyimbo ivume bila maneno maneno)
Kusema alizimiwa maiki Mombasa na kuuliza MENEJA wa Diamond alikuwa anafanya nini back stage hiyo ni nini?.
Kupiga tupicha na jokate na kutupia insta hiyo ni nini?
AU LABDA MI SIJUI MAANA YA KIKI.
Ila haka ka jamaa ni kanafki
LAKINI HATA HIYO NI KIKI,KUSEMA HAPENDI KIKI.
Aaaaah mkuu.hapo sijakuelewa kabisa.etì kupiga picha na jokate? (Mpenzi wake)
kuzimiwa na Mike stejini
 
Wakati anahojiwa huyu mtu
Wale watangazaji walikuwa wakiuliza maswali na kuongea maneno yaki Toto kabisa
Bila kuficha yalimlenga diamond moja kwa moja,
Muda Fulani hizi media zetu zina tuangusha kukuza music wetu.
Mtu kuonyesha mafanikio yake sio shida
Mie naona ni ujinga kuchukia maisha ya mwenzie kuwa vizuri.

Hawa clouds kuna mudafulani wapuuzi na wao
Nakuunga mkono mkuu hizi medias zetu ndio upuuzi mtupu.wakinyimwa uhuru wanalalamika eti hakuna uhuru wa vyombo vya habari...kuna kapepo kanatusumbua watanzania ila tutafika tu
 
Clouds FM ni jipu, wanaume gani kuuliza maswali ya kishangingi tu kila siku ndio hawa wanatuponza wanaume wa Dar. Niliona video clip yule mbwiga kajifunika uso kawafuata Yamoto Band nyumbani kwao halafu kasimama uchochoroni anauliza habari za nyumba wanayoishi nani kasaini mkataba na kodi ni bei gani? Wale wajomba wakamshangaa wakasema we ndio maana unaitwa SHILAWADU!
Aisee hapo mkuu umenitouch kinouma..Yule jamaa sjui soudy black kweli anafanya kazi nyingine ambayo daaah!!!
 
1477886712962.jpg
 
Back
Top Bottom