Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
I second you in some sorts...
Suala la band mmmhh sidhani kama ni idea nzuri!
Ye apige live tu
[QUOTE=samsun;12499922]Hongera yake,ila mi ningekuwa management yake nisingemshauri amiliki Band,ila kuimba live haina ulazima wa kumiliki Band kwa sababu kumiliki Band ni gharama mno maana sasa itambidi amiliki wapiga vyombo wasiopungua 8 waimbaji na wacheza show si chini ya 5 (kumbuka hawa utakuwa nao muda wote ili muwe munafanya mazoezi na mambo mengine) kwa hiyo kuna mambo ya mishahara na posho,unajua kitakachofuata ITAMBIDI AWE NA SHOWS ZA MARA KWA MARA TENA ZA SEHEMU MAALUM KILA SIKU FULANI UTAMKUTA HAPO unajua kitakachofuata HATOKUA NA MVUTO WA KUTAKA KUMJUA ANAKIPYA GANI KWA KUWA UKIENDA MAHALI FULANI UTAMKUTA akawaulize wakina Ally Choki,T.I.D,Banana Zorro. Hajiulizi kwa nn WASANII WA U.S. NA EUROPE WANAIMBA LIVE LAKINI SWALA LA KUMILIKI BAND KWAO HALIPO NA BADO PLAYBACK WANAIMBA. Ni ushauri tu si lazima auchukue, matusi yanakaribishwa kwa sababu nina degree kipengere hiko[/QUOTE]