Ali Kiba unakwama wapi mdogo wangu?



Ile style ya Kiba, kama yupo hayupo, mbaya zaidi na itamfanya akae palepale kama King halisi
 
Alikiba ni kama Ronaldinho
Na Diamond ni kama Cristiano Ronaldo..

Inabidi uwakubali kama walivyo
Tatizo hawataki kukubali kunguni hawa...na ndo maana inaumiza Kila siku afu sidhan hata kama akina jux na benpol wamepost ila wao ni Kiba tu Kila kukicha...upuuzi ni mzigo mzito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba TANZANIA NZIMA WASANII WAMESAPOTI kasoro Kiba au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…