Ali Kiba unakwama wapi mdogo wangu?

Ali Kiba unakwama wapi mdogo wangu?

Hebu cheki kijana wa juzi juzi tu harmonize anavyobamba kila kona,kachangamsha mitaa kwa album iliyosheheni mikwaju,wewe huskiki kabisa siku hizi tulikutegemea uje umchalenji Diamond umetuangusha,atleast konde anafanya kile tulichotarajia kutoka kwako japokuwa na yeye bado sana kufika level zile ila kwa kudra za Mungu atafika,basi tuache hilo mdogo wangu tunajua mualiko ulikataa kata kata kama ilivyokawaida yako roho ya kukunja,basi toa hata hongera tu kwa kijana Konde kama walivyofanya wenzako wakina WCB kiroho safi kuonyesha kama unajali usione wivu mdogo wangu maisha ndivyo yalivyo leo wewe kesho yeye.

Ile style ya Kiba, kama yupo hayupo, mbaya zaidi na itamfanya akae palepale kama King halisi
 
Alikiba ni kama Ronaldinho
Na Diamond ni kama Cristiano Ronaldo..

Inabidi uwakubali kama walivyo
Tatizo hawataki kukubali kunguni hawa...na ndo maana inaumiza Kila siku afu sidhan hata kama akina jux na benpol wamepost ila wao ni Kiba tu Kila kukicha...upuuzi ni mzigo mzito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu cheki kijana wa juzi juzi tu harmonize anavyobamba kila kona,kachangamsha mitaa kwa album iliyosheheni mikwaju,wewe huskiki kabisa siku hizi tulikutegemea uje umchalenji Diamond umetuangusha,atleast konde anafanya kile tulichotarajia kutoka kwako japokuwa na yeye bado sana kufika level zile ila kwa kudra za Mungu atafika,basi tuache hilo mdogo wangu tunajua mualiko ulikataa kata kata kama ilivyokawaida yako roho ya kukunja,basi toa hata hongera tu kwa kijana Konde kama walivyofanya wenzako wakina WCB kiroho safi kuonyesha kama unajali usione wivu mdogo wangu maisha ndivyo yalivyo leo wewe kesho yeye.
Kwamba TANZANIA NZIMA WASANII WAMESAPOTI kasoro Kiba au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom