Ali kiba unapanic sana kwenye video

Ali kiba unapanic sana kwenye video

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
21,859
Reaction score
19,736
Yaani video za Ally wala hazivutii kuna kuwa na mrundikano wa picha kibao....ambazo hazina maana wala logic ,hua najiuliza sana huyu brother why? Kwanini video zisiwe na flow nzuri unarundika tu mipicha kibao .....brother tulia focus chibu asikupotezee direction.
Kuanzia video ya mwana ambayo ulii lebel return of the king,chekecha .....hadi hii Aje kulikuwa na umuhimu gani wakuweka wazungu?au ndo ulikua unamjibu mond? let mond awe mond na Ally awe Ally unapoteza brother
Yaani tangu urudi 2014 kwenye game unapoteza sana focus ya video za nyimbo zako , video ambao atleast umepatia ni Rupela basi huko umeonyesha reality ya sanaa na fasihi
Tunajua wewe ndo ulianza music kuliko yule..., ila yule alianza ku shoot na ma director international kabla yako basi ukienda huko nje tulia wasikujazie tu mapicha ya cities za watu .
Bila kisahau uwe na mpangilio nzuri wa mavazi kwani unatakiwa ukumbuke wewe ni brand so unapovaa mitumba ya karume basi sisi follower wako tunakuchukulia local hivyo hivyo
Ni hayo tu mimi ni shabiki wako wa nyimbo zako kuanzia enzi za cinderela , na featuring ya kwanza Maria by Abby Skilz na Blue
 
tatizo kiba lugha gongana[emoji23][emoji23]
anachoimba director haelewi
halafu yeye pia hajui video yake anataka iweje..
hapo ndipo unapokuta vinyago vimejaa kwenye Aje...
video tofauti na audio[emoji23][emoji23]

diamond yeye mwenyewe anajua video yake anataka iweje
kwa garama zozote zile
anajadiliana na madirector
nini anapenda nini hapendi
mpaka vitu vinaenda NGA NGA NGAAA!!
 
Kweli mleta thread ni mwe.....kundu huna akili kama jina lako.. sasa unaweza kufananisha mziki wa alli na mondi.. mbona hauna akili.. mziki WA all I una concept na flow zake ni zenye mtiririko wa matukio.. mwimbo kama cinderera.. makmuga.. aje.. na.zingne nyingi ni nyimbo ambazo zinaelezea maisha na mwisho tunapata ujumbe wa kusudio maalum kufatana na mtiririko wa stor.. sasa mondi nyimbo zake verse moja na nyingine haziingiliani na hazina concert flow.. usimfananishe ally na vituko
 
Amezungumizia video, mbona unapanic?
 
Category yakufananisha mziki bado u r low Iq joh
 
Thread za kijinga jinga...
Unajutia muda ulioutumia kusoma [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Kweli mleta thread ni mwe.....kundu huna akili kama jina lako.. sasa unaweza kufananisha mziki wa alli na mondi.. mbona hauna akili.. mziki WA all I una concept na flow zake ni zenye mtiririko wa matukio.. mwimbo kama cinderera.. makmuga.. aje.. na.zingne nyingi ni nyimbo ambazo zinaelezea maisha na mwisho tunapata ujumbe wa kusudio maalum kufatana na mtiririko wa stor.. sasa mondi nyimbo zake verse moja na nyingine haziingiliani na hazina concert flow.. usimfananishe ally na vituko
Umetoka povu boy vipi umelishwa omo na alk k
 
Kibakuli kwisha habari yake,ha ha ha wafuasi wake washaanza kumuona hajui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],ni habari njema sana hii
 
Naogopa kusema lolote kuhusu Kiba, maana naweza nika jikuta naachika kwa huyu kipenzi mwenye mahaba makubwa kwa mwana muziki Kiba
 
Yaani video za Ally wala hazivutii kuna kuwa na mrundikano wa picha kibao....ambazo hazina maana wala logic ,hua najiuliza sana huyu brother why? Kwanini video zisiwe na flow nzuri unarundika tu mipicha kibao .....brother tulia focus chibu asikupotezee direction.
Kuanzia video ya mwana ambayo ulii lebel return of the king,chekecha .....hadi hii Aje kulikuwa na umuhimu gani wakuweka wazungu?au ndo ulikua unamjibu mond? let mond awe mond na Ally awe Ally unapoteza brother
Yaani tangu urudi 2014 kwenye game unapoteza sana focus ya video za nyimbo zako , video ambao atleast umepatia ni Rupela basi huko umeonyesha reality ya sanaa na fasihi
Tunajua wewe ndo ulianza music kuliko yule..., ila yule alianza ku shoot na ma director international kabla yako basi ukienda huko nje tulia wasikujazie tu mapicha ya cities za watu .
Ni hayo tu mimi ni shabiki wako wa nyimbo zako kuanzia enzi za cinderela , na featuring ya kwanza Maria by Abby Skilz na Blue

Pia hua anatumia sana nguo moja au mbili tu.ktk video zake. Pole yake
 
Back
Top Bottom