mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Yaani video za Ally wala hazivutii kuna kuwa na mrundikano wa picha kibao....ambazo hazina maana wala logic ,hua najiuliza sana huyu brother why? Kwanini video zisiwe na flow nzuri unarundika tu mipicha kibao .....brother tulia focus chibu asikupotezee direction.
Kuanzia video ya mwana ambayo ulii lebel return of the king,chekecha .....hadi hii Aje kulikuwa na umuhimu gani wakuweka wazungu?au ndo ulikua unamjibu mond? let mond awe mond na Ally awe Ally unapoteza brother
Yaani tangu urudi 2014 kwenye game unapoteza sana focus ya video za nyimbo zako , video ambao atleast umepatia ni Rupela basi huko umeonyesha reality ya sanaa na fasihi
Tunajua wewe ndo ulianza music kuliko yule..., ila yule alianza ku shoot na ma director international kabla yako basi ukienda huko nje tulia wasikujazie tu mapicha ya cities za watu .
Bila kisahau uwe na mpangilio nzuri wa mavazi kwani unatakiwa ukumbuke wewe ni brand so unapovaa mitumba ya karume basi sisi follower wako tunakuchukulia local hivyo hivyo
Ni hayo tu mimi ni shabiki wako wa nyimbo zako kuanzia enzi za cinderela , na featuring ya kwanza Maria by Abby Skilz na Blue