Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
hahahahahaMmoja anaimba utafikiri kabanwa na mlango while mwingine anaimba kama anaomboleza... Bush man vs funeral services choir(in terms of maombolezo)
Ahahaaaaaah...Mmoja anaimba utafikiri kabanwa na mlango while mwingine anaimba kama anaomboleza... Bush man vs funeral services choir(in terms of maombolezo)
[emoji23][emoji23][emoji23]Mmoja anaimba utafikiri kabanwa na mlango while mwingine anaimba kama anaomboleza... Bush man vs funeral services choir(in terms of maombolezo)
Mkuu aisee umenifurahisha mpk nimecheka kwa nguvu ndani ya daladala watu wananishangaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmoja anaimba utafikiri kabanwa na mlango while mwingine anaimba kama anaomboleza... Bush man vs funeral services choir(in terms of maombolezo)
Huyu ametisha kwa kweli hyo comment yake sijui hata alikuwa anafikiria nini kipindo anaandika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahahaaaaaah...
JF bhana...
Watu wana maneno..!
huyu mleta mada nae anampambanisha alikiba na vitu vya ajabu alikiba ile ndo sauti yake ata akiimba jukwaani haibadiliki sauti yakuongea na kuimba ni tofautiMmoja anaimba utafikiri kabanwa na mlango while mwingine anaimba kama anaomboleza... Bush man vs funeral services choir(in terms of maombolezo)
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Habari!!
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Ivi nani zaidi kati ya hawa wasanii wawili?
Pole sana mkuu... I hope hawakukuchaji nauli kubwa.Mkuu aisee umenifurahisha mpk nimecheka kwa nguvu ndani ya daladala watu wananishangaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole sana mkuu... I hope hawakukuchaji nauli kubwa.
Acha kumlinganisha Tundaman na vijitu vya hovyo hovyoHabari!
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Hivi nani zaidi kati ya hawa wasanii wawili?
we ulipotelea wapi? wiki nzima huonekani duuh[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Leo at least mmelingamisha watu wano endana.
Ila mi naona Tundaman ndio bora
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]we ulipotelea wapi? wiki nzima huonekani duuh
Yaaah mengi sana, ss huko shinyanga ndo ulishndwa kuingia JF we mbona unakuwa muongo sana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nilienda na shinyanga na Yanga
Vipi yamenipita mengi eeh!!?
Mkiletewa majibu ua mitihani yenu na necta mmepata 0 mnalalamika ooh serikali haitaki kufaulisha watu, kumbe nyinyi ndo mnamatatzo. Mtoa mada kauliza nani zaidi wewe unaanza kutoa utofauti kwan umeulizwa compare and contrast au umeulizwa who is the best.Mmoja anaimba utafikiri kabanwa na mlango while mwingine anaimba kama anaomboleza... Bush man vs funeral services choir(in terms of maombolezo)
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Yaaah mengi sana, ss huko shinyanga ndo ulishndwa kuingia JF we mbona unakuwa muongo sana
walinipa ban ndo imeisha leo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Shinynga network
C unajua tena
Daaah nnakazi ya kuangalia updates, ila na wew kama nyuzo zako zilipotea sasa
Mkuu aisee umenifurahisha mpk nimecheka kwa nguvu ndani ya daladala watu wananishangaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]